Naitwa Mariam Elias, umri wangu miaka 28, kabila mmakonde, elimu yangu kidato cha nne, naishi Mikocheni A, jijini Dar Es Salaam, nimepata mafunzo ya jinsi ya kupika lishe maalumu kwa ya kuwasaidia kunenepa watu walio konda au kupungua mwili kutokana na sababu mbalimbali.
Mafunzo hayo nimeyapata kutoka NEEMA HERBALIST.
Natafuta kazi ya upishi. Naweza kufanya hii ya upishi popote, iwe kwenye mgahawa, ofisini au nyumbani kwa mtu.
Pia ninaweza kupika vizuri Sana vyakula vingine vya kawaida.
..................
Kama unataka huduma ya Mariam, wasiliana nasi kupitia barua pepe yetu ambayo ni : neemaherbalist@gmail.com.
..........................
Na kwa wewe ambae umekonda na kupungua mwili kutokana na sababu mbalimbali kama vile :
1. Kuugua magonjwa mbalimbali kama kisukari au vidonda vya tumbo.
2. Kupatwa na msongo wa mawazo.
Na unahitaji kuondokana na tatizo hilo basi wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu :
0766 53 83 84 au 0693 005 189.
Au WHATSAPP : 0745 433 595.
Tumehamia Chanika jijini Dar Es Salaam ( Zamani tulikuwa Ubungo)
Kwa wewe mteja wetu ulie jijini Dar Es Salaam na ambae hauna nafasi ya kudika ofisini kwetu, tunayo huduma ya kukuletea dawa mahali popote ulipo jijiji Dar Es Salaam.
Na kwa wewe ambae upo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, tunakutumia dawa kwa njia ya usafiri wa bus au boti kama upo Zanzibar.
Comments
Post a Comment