Naitwa Lucy Benard natafuta kazi ya kupika lishe maalumu ya kuondoa kitambi, kupunguza uzito na unene.
Naitwa Lucy Bernard, umri wangu miaka 26, naishi Tabata, Dar. Natafuta kazi ya kupika lishe ya kupunguza kutambi pamoja na lishe maalumu ya kupunguza unene na uzito. Nimepata mafunzo ya namna ya kupika lishe maalumu ya kuondoa kitambu, kupunguza unene na uzito kutoka NEEMA HERBALIST.
Na weza kufanya kazi kwenye mgahawa, kwenye jiko la bar, kwenye hoteli, ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu.
Kwa wewe unae hitaji huduma ya Lucy, tuandikie kupitia barua pepe yetu ambayo ni : neemaherbalist@gmail.com.
Na kwa wewe unae hitaji dawa ya kuondoa kitambi na kufanya tumbo kuwa flat kabisa, kuondoa unene, manyama uzembe pamoja na kupunguza uzito ulio zidi. Wasiliana nasi kupitia simu zetu :
0766 53 83 84 au 0693 005 189
Au WHATSAPP : 0745 433 595.
Dawa ya asili ya kupunguza kitambi, kuondoa manyama uzembe, kupunguza unene na uzito inakuja na lishe yake maalumu.
Inatumika kwa muda wa siku ishirini na moja na inakuja pamoja na lishe yake maalumu.
Tumehamia Chanika Mwisho ( Zamani tulikuwa Ubungo)
Kwa wewe mteja watu wa jijini Dar Es Salaam usie na nafasi ya kufika Chanika, tunayo huduma ya kukuletea dawa mahali popote ulipo jijini Dar Es Salaam ( Delivery/ na kwa wewe ulie nje ya Dar Es Salaam, tunakutumia dawa kwa njia ya bus au njia ya boti kama upo Zanzibar.
Comments
Post a Comment