Naitwa Imelda Kulaya,umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne, na kozi ya uhazili ( Secretary) ngazi ya cherish. Makazi yangu Msasani, Dar Es salaam.
Natafuta kazi ya upishi na usafi, kwenda na kurudi.
Nimepata mafunzo kutoka NEEMA HERBALIST kuhusu namna ya kuandaa na kutayarisha lishe maalumu kwa watu wenye mahitaji maalumu ya kiafya kama vile:
1. Lishe maalumu kwa watu wenye kusumbuliwa na tatizo la presha na ki sukari
2. Lishe maalumu kwa watu wenye tatizo la vidonda vya tumbo.
3. Lishe maalumu kwa wanaume webye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
4. Lishe maalumu kwa wanawake wenye tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa.
5. Lishe maalumu ya kuondoa kitambi
6. Lishe maalumu ya kupunguza uzito na unene.
Kama unahitaji huduma ya Imelda, wasiliana nasi kupitia barua pepe ( e.mail) yetu ambayo ni :
neemaherbalist@gmail.com
Na kama unahitaji dawa ya asili pamoja na lishe yake maalumu kwa ajili ya matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile:
1. Dawa ya asili kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume ( Dawa pamoja na lishe yake)
2. Dawa ya asili kwa ajili ya tatizo la sukari
3. Dawa ya asili kwa ajili ya tatizo la presha.
4. Dawa ya asili kwa ajili ya kutibu tatizo la vidonda vya tumbo.
5. Dawa ya asili kwa ajili ya kuondoa kabisa kitambi na kufanya tumbo kuwa flat.
6. Dawa ya asili kwa ajili ya kupunguza unene na uzito ulizo zidi.
7. Dawa ya asili kwa ajili ya kuwasaidia kunenepa watu walio konda na kudhoofika mwili kutokana na sababu mbalimbali kama vile msongo wa mawazo ( Depression) au sababu ya kuugua magonjwa mbalimbali kama vile vidonda vya tumbo na ki sukari.
8. Dawa ya asili ya kutibu tatizo la bawaziri.
9. Dawa ya asili ya kutibu tatizo la macho.
10. Dawa asili ya kutibu tatizo la kukosa kumbukumbu nakadhalika
Wasiliana nasi kupitia simu namba :
0766 53 83 84 au 0693 005 189
Au WHATSAPP NUMBER : 0745 433 595.
Tumehamia Chanika Mwisho ( Zamani tulikuwa Ubungo)
Kwa wewe mteja wetu unaeishi ndani ya jiji la Dar Es Salaam, ambae huwezi kufika. Chanika, tunayo huduma ya kukuletea dawa mahali ulipo.
Na wewe ulie nje ya Dar Es salaam, tunakutumia dawa kupitia mabus mbalimbali au kwa njia ya boti kama upo visiwani Zanzibar
Comments
Post a Comment