Na hii ni kwa sababu idadi yao ni kubwa.
Hawa tulio wa post hapa ni baadhi kati yao.
Kwa wewe unae hitaji mtu wa kutoa huduma ya kupika vyakula maalumu eidha ofisini kwako au nyumbani kwako, wasiliana nasi kupitia barua pepe yetu :
neemaherbalist@gmail.com.
Kwa sababu watu wanao hitaji wapishi ni wengi sana kuliko idadi ya wapishi waliopo, tumeweka utaratibu wa barua pepe ili kuweka ufanisi katika suala zima la. kuwasaidi wa hitaji wa wapishi na kuondoa tatizo lililojitokeza mwaka Jana. Wahitaji wa wapishi wali kuwa ni wengi sana mara kumi ya wapishi walio kuwepo. Mwisho wa siku wahitaji wa huduma ya mapishi walipiga simu muda mrefu bila kupata huduma kwa sababu simu ili kuwa busy sana.
Hivyo kwa wewe my hitaji wa mapishi, unaombwa u tuandikie kupitia barua pepe yetu.
Pia tunatanguliza kuwaomba radhi, wateja wetu ambao hawataweza kupata wapishi kwa sababu kama nilivyo sema hapo juu, wahitaji wa huduma hii ni wengi kuliko wapishi waliopo.
....... .......
Kwa wewe unae hitaji dawa ndio uwasiliane nasi kupitia simu zetu :
0766- 53 83 84 au 0693 005 189
Au WHATSAPP:
0745 -433 595
Comments
Post a Comment