Skip to main content

Ijue Faida ya kula samaki





SAMAKI (FISH)• Huyayusha damu, huifanya kuwa nyepesi• Huilinda mishipa ya damu isiharibike• Huzuia damu kuganda• Hushusha shinikizo la damu• Hupunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo na kiharusi• Hutuoa ahueni kwa wenye ugonjwa wa kipandauso• Husaidia kuzuia uvumbe mwilini• Huendesha mfumo wa kinga ya mwili• Huzuia saratani• Hutoa ahueni kwa wenye pumu• Hupambana na dalili za awali za ugonjwa wa figo• Huongeza nishati ya ubongo


KITUNGUU SAUMU (GARLIC)• 
Hupambana na maambukizi• Ina kemikali zenye uwezo wa kudhibiti saratani• Hufanya damu kuwa nyepesi• Hupunguza shinikizo la damu na kolestro• Huamsha mfumo wa kinga ya mwili• Huzuia na kutoa ahueni kwa kikohozi kilaini.• Huweza kutumika kama dawa ya kifua

TANGAWIZI (GINGER)
• Huzuia ugonjwa wa kutetemeka• Hufanya damu kuwa nyepesi

ZABIBU (GRAPE)
ina uwezo wa kufanya virusi visifanyekazi• Huzuia meno kuoza• Ina mchanganyiko wenye uwezo wa kuzuiasaratani

PILIPILI HOHO (GREEN CHILLIES)
• Dawa nzuri ya mapafu• Hutumika kama dawa ya kifua• Huzuia na kuponya kikohozi kikali• 
kuyeyusha mabonge ya Husaidiadamu• Hutoa maumivu• Huweza kumfanya mtu kuwa na furaha

ASALI (HONEY)
• Huua vijidudu (bacteria)• 
Huondoa wadudu kwenye vidonda na malengelenge• Huondoa dalili za maumivu• Hutoa ahueni kwa wagonjwa wapumu• Hutuliza maumivu ya vidonda vya koo• Hutuliza mishipa ya damu, humpatia mtu usingizi• Hutoa ahueni kwa mtu anayeharisha

MAZIWA (MILK)
• Huzuia ugonjwa wa mifupa (osteoporosis)• Hupambana na maambukizi, hasa kuharisha• Hurekebisha kuchafuka kwa tumbo• Huzuia vidonda vya tumbo• Huzuia kuoza kwa meno• Huzuia mtu kupatwa na kikohozi• Huongeza nishati ya ubongo• Hushusha shinikizo la damu• Hushusha kiwango chakolestro mwilini• Hudhibiti baadhi ya saratani

UYOGA (MUSHROOM)
• Hufanya damu kuwa nyepesi• Huzuia saratani• Hushusha kiwango cha kolestro• Huchangamsha mfumo wa kinga ya mwili• Hudhoofisha virusi

SHAYIRI (OATS)
• Dawa bora ya moyo• Hushusha kolestro mwilini• Hurekebisha sukari kwenye damu• Ina mchanganyiko wa virutubisho unaodhibiti saratani• Hupambana na kuvimba kwa ngozi• Ina uwezo sawa na dawa ya kumpatia mtu choo

KITUNGUU MAJI (ONION)
 Dawa kubwa ya magonjwa ya moyo• Huimarisha kolestro nzuri (HDL)• Huifanya damu kuwa nyepesi• Hushusha kiwango cha kolestro mbaya• Huzuia damu kuganda• Hurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu• Huua vijidudu• Huzuia sarataniTop of Form

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...