Kifua kikuu ni ugonjwa Hatari sana kwa binadamu na ugonjwa ambao unaambukiza kwa njia ya hewa.
Ugonjwa huu ambao
huathiri mifupa na
mapafu unawasumbulua mamilioni
ya watu duniani.
Tanzania ni miongoni
mwa nchi zenye
idadi kubwa ya
watu wanao sumbuliwa
na tatizo la
kifua kikuu.
DALILI ZA
UGONJWA WA KIFUA
KIKUU : Dalili za ugonjwa
wa kifua kikuu
ni pamoja na
1. Kupungua uzito wa mwili.
2. kuumwa mara kwa mara.
3.Kifua (kikohozi kisichopona).
4.Kukohowa na kutoka damu.
TIBA ASILIA
YA UGONJWA WA KIFUA
KIKUU.
Chukua juisi ya Kitunguu Thaumu kikombe kimoja changanya na kijiko kimoja kikubwa kilichojaa unga wa habbat sauda kwa kiingereza inaitwa (Nigella sativa Seed) koroga vizuri kisha unywe kila siku kikombe kimoja Asubuhi na jioni kwa muda wa miezi miwili. Pia mgonjwa anatakiwa ajiepushe na kazi nzito ikiwemo ya kufanya mapenzi. Na mgonjwaanatakiwa apate chakula cha kutosha na kilicho bora.
Kama
tatizo
lako litaendelea hata
baada ya kutumia
tiba hii, basi wasiliana nasi
kwa simu 0766538384
Msaada plz....upatikanaji wa unga wa habbat sauda
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete