Unasumbuliwa na
tatizo la kutokwa na vipele kisogoni ?
Vipele vinavyo sababishwa na kunyoa saluni
? Kama jibu lako ni NDIO , basi hii ni
HABARI NJEMA SANA KWAKO. Neema Herbalist &
Nutritional Foods Clinic ni duka la kuuza
dawa mbalimbali za asili. Tunakuarifu kuwa,
tunayo dawa asilia inayo tibu na kuponyesha
kabisa tatizo la kutokwa na vipele
kisogoni.
Dawa yetu ni ya
asili kabisa, isiyo na kemikali za
viwandani na inatibu na kukausha kabisa tatizo
la kutokwa na vipele kisogoni ndani
ya siku thelathini.
BEI YA DAWA HII
NI SHILINGI ELFU HAMSINI TU. ( Tshs.50,000/=).
Tunapatikana UBUNGO jijini Dar Es Salaam, jirani
na Shule Ya Msingi Ubungo National Housing,
nyuma ya jengo la Ubungo Plaza.
Kwa wateja wasio weza
kufika ofisini kwetu, watapelekewa dawa mahali
walipo ( DELIVERY ). Kwa wateja wa mikoani,
watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi. Kwa
wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa
njia ya boti, na kwa DIASPORA watatumiwa
dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
Tunapatikana kwa simu
namba 0766 53 83 84. Na kwa taarifa
zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee : www.neemaherbalist.com
Comments
Post a Comment