Skip to main content

NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WATU WOTE



Taasisi  ya  Neema  Institute  Of N.G.O Management, inatangaza  nafasi  za  kushiriki  katika  semina  za  ujasiriamali  kwa  watu  wote. Mafunzo  yatakayo  tolewa pamoja  na  gharama  yake, ni kama  inavyo  onekana  hapo chini.
--------------------------------------------------------------------------

Neema   Institute   Of   N.G.O  Management
P.O.Box  35967,Dar  Es  Salaam.    Mobile  : + 255  765  10 30 80
E.mail :   neemainstitute@gmail.com         Website : www.neemainstitute.blogspot.com



SEMINA     YA    UJASIRIAMALI
No
Somo
Muda
Ada
1.           
UANZISHAJI,UENDESHAJI  NA USIMAMIZI  WA  MASHIRIKA  YASIYO KUWA  YA  KISERIKALI
·         Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi wa  mashirika  yasiyokuwa  ya  kiserikali.

·         Uanzishaji, Uendeshaji  na  Usimamizi wa  miradi  ya  maendeleo ya  mashirika  yasiyo  kuwa  ya  Kiserikali

·         Uanzishaji,uendeshaji na  usimamizi wa vyanzo  vya  mapato  ya  mashirika  yasiyo kuwa  ya  kiserikali








WIKI  TATU
ELFU  THEMANINI (Tshs.80,000/=)
2.           
UANZISHAJI & UENDESHAJI WA VIWANDA  VIDOGO
·         Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  viwanda  vidogo vidogo  vya usindikaji
·         Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  vyama vya wasindikaji.

·         Usindikaji  wa  bidhaa  zitokanazo  na  maziwa  ya  n’gombe :

·         Siagi  ( Butter )
·         Jibini  ( Cheese )
·          Samli  (Ghee )
·          Yogati

·            Usindikaji na  utengenezaji  wa  juisi  za  matunda  mbalimbali kama vile  machungwa, mananasi, maembe nakadhalika.

·         Utengenezaji na  usindikaji  wa  jam ya  matunda  mbalimbali  kama  vile   mananasi, maembe  nakadhalika

·         Usindikaji na  utengenezaji  wa  wine za  matunda  ya  aina  mbalimbali  kama  vile; ndizi, nanasi,embe,rosella  nakadhalika

·         Uandaaji, utayarishaji  na  Usindikaji  wa  lishe  za  aina  mbalimbali.





WIKI  MBILI



ELFU  SITINI (Tshs.60,000/=)
3.           
UANZISHAJI,UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA  VITUO  VYA  HUDUMA  YA  MASAJI  NA  UKARIMU  KWA  WAGENI.
·         Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi wa  vituo  vya  kutoa  huduma  ya  masaji
·         Uanzishaji, Uendeshaji  na  Usimamizi wa  vituo  vya  huduma  ya  ukarimu ( Hospitality )  kwa  watalii na  wageni  wa  ndani  na  nje  ya  nchi.
·         Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  Taasisi  za  kutoa  huduma  ya  masaji  na  ukarimu  kwa  watalii  na  wageni  wa  ndani  na  nje  ya  nchi.



WIKI MOJA


ELFU  SITINI (Tshs.60,000/=) 
4.           
UANZISHAJI, UENDESHAJI  NA  USIMAMIZI  WA  VITUO  VYA  ELIMU    NA  MAFUNZO.
  • Uanzishaji, uendeshaji na  usimamizi  wa  vyuo  vya  ufundi  stadi. ( VET Centers )
  • Uanzishaji  na  uendeshaji wa  vituo  vya  mafunzo  ya  ujasiariamali

  • Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa vituo  vya elimu  ya  watu  wazima na  watahiniwa  binafsi
( Private  Candidate Centers )

  • Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  Vituo  vya  Maendeleo  ya  Jamii





WIKI TATU




ELFU  SITINI (Tshs.60,000/=) 
5.           
UANZISHAJI NA  UENDESHAJI WA  GAZETI, JARIDA NA UANDISHI  WA  VITABU.
  •  Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  gazeti
  • Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  jarida.
  • Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  biashara  ya  uandishi   na  uuzaji  wa  vitabu  vya  ziada  na  kiada.


WIKI MBILI



ELFU  SITINI
( Tshs.60,000/=)
6.
KILIMO  NA  UFUGAJI BORA
  •  Uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  vyama  vya  wakulima  na  wafugaji.
  • Ufugaji  wanyama  na ndege.
  • Ufugaji wa  samaki
  • Ufugaji  wa  nyuki
  • Kilimo cha  miti  ya  mbao
  • Kilimo cha  majani na  malisho  ya  mifugo
  • Utaalamu  wa  mbolea  na  udongo  katika  mazingira  halisi  ya  kitanzania.
  • Kilimo  cha  mazao  ya  nafaka
  • Kilimo cha  mazao  ya  biashara
  • Kilimo  cha  mbogamboga
  • Kilimo  cha  miti  ya  matunda
  • Kilimo  cha  mitidawa   
  • Kilimo  cha  maua



WIKI  NNE



ELFU THEMANINI (Tshs.80,000/=)

TAREHE  YA  KUANZA   MAFUNZO :

Mafunzo  haya, yataanza  rasmi  tarehe  04 JANUARI 2016  jijini  Dar  Es  Salaam.
FOMU  za  kujiunga  na  mafunzo  haya, zinapatikana  ofisini  kwetu kwa  gharama  ya  SHILINGI  ELFU  KUMI    NA  TANO  tu (Tshs.15,000/=)

Ofisi  zetu  zipo  Ubungo, Dar  Es  Salaam, jirani  na  Shule  Ya  Msingi  Ubungo  National  Housing, nyuma  ya  jingo  la  Ubungo  Plaza.
MWISHO  WA  KUCHUKUA  FOMU : Mwisho  wa  kuchukua   fomu  ni  tarehe  30  DESEMBA  2015 saa  nane  kamili  mchana.

KWA  WAOMBAJI  WA  MIKOANI :  Kwa  waombaji  wa  mikoani, mafunzo  haya  yatatolewa  kwa  njia  ya   VITABU  na  DVD.
UPATIKANAJI  WA  FOMU  KWA WAOMBAJI  WA  MIKOANI : Kama  upo nje  ya  mkoa  wa  Dar  Es  Salaam, na  unahitaji  kushiriki  katika  mafunzo  haya  kwa  njia  ya  VITABU na DVD. Andika  barua  pepe  ( email ) ya  maombi  ya  fomu  ya  kujiunga  katika  mafunzo haya, kupitia  barua  pepe  yetu  :   neemainstitute@gmail.com .     Maombi  yaelekezwe  kwa  Mkurugenzi  Mtendaji,  Neema  Institute  Of  N.G.O  Management, S.L.P  35930, Ubungo, Dar  Es Salaam.
Kwa  maelezo  zaidi wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  0765  10  30  80    au  tutembelee :


Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...