Fangasi za
miguuni ni tatizo
linalo wakabili watu
wengi duniani. Kama una sumbuliwa
na tatizo la
fangasi za kwenye
miguu unaweza kujitibu
kwa kutumia njia
za asili kabisa.
Yafuatayo ni
maelezo ya jinsi
ya kujitibu fangasi
za miguuni kwa
njia za asili.
1. MAHITAJI
i.
Majivu
robo kilo
ii.
Juisi
ya ndimu milimita
mia mbili hamsini
( Kikombe kimoja )
iii.
Sufuria
iv.
Kopo
au chupa ya
plastiki.
MATAYARISHO
Chukua
majivu
yako, weka kwenye sufuria
kisha changanya na
juisi ya ndimu, halafu
koroga hadi ichangamane, kisha hifadhi
kwenye chupa au
kopo la plastiki..
MATUMIZI
: Nyunyiza dawa
yako kwenye sehemu
iliyo athirika na
fangasi. Fanya hivyo mara
mbili kwa siku a
subuhi na jioni
hadi tatizo lako
litakapo isha.
IMEANDALIWA NA
NEEMA HERBALIST BLOG ….0766
53 83 84. DAR
ES SALAAM.
asante dr,inaweza chukua muda gani nhadi tatitzo kuisha mfano mtu mwenye fangasi sugu ya miguu
ReplyDelete