Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2015

Doreen Mashika Presents Fashion Night In

Doreen Mashika, nominated for Accessory Designer of the Year in Swahili Fashion Week 2013, Inspired by a deep sense of affection for the cultural heritage and wealth of design possibilities in Africa, will be hosting Fashion Night In. The ensemble will be featured on gorgeous models from Nairobi and Dar Es Salaam and the show promises to deliver to everyone’s passion for fashion. Doreen Mashika’s “Fashion Night In” will be held on 27 th February Hyatt Regency Hotel in Dar-es-Salaam. Tickets available for sale at Epidor, along Haile Selassie Road in Masaki. For enquiries, contact +255 713 252 254 or email contact@spearheadafrica.com . Doreen Mashika’s Fashion Night In is brought to you by Toyota Tanzania, Precision Air, Luxury Short Safari Tanzania and Belvedere Vodka.

MODEL WETU LEO

Jina     :   Halima    Michael    a.k.a   Mima. Umri   :    23   years. Elimu : Chuo   Kikuu. Taarifa   na maelezo   zaidi   kuhusu    mwanamitindo   huyu   zitakujia   siku  za  usoni . Endelea   kutembelea   Neema Herbalist   Blog   kila   siku.

Pamoja na maswaibu yaliyomkuta, ila huyu dada ningekutana naye, hakika ndoa ingetangazwa

Anaitwa Nsia Swai, dada aliyepata umaarufu baada ya fundi uchwara wa kompyuta kuacha maadili yake ya kazi na kuamua kuzitawanya mitandaano picha za utupu za huyu dada. Huyu dada endapo ningekutana naye mtaani hakika ningeziba masikio na kufumba macho kuhusu skendo iliyomkuta na kisha ningetangaza ndoa. CREDIT :  JAMII  FORUMS

MAAJABU YA DAWA YA JIKO KATIKA KUMALIZA NA KUPONYESHA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume. Dawa  hii  iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE  HERBAL) na  inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za  kiume  ndani  ya  siku  thelathini. JINSI   DAWA  YA  JIKO  INAVYO  FANYA  KAZI. Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo: i. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa. ii. Inas...

RACHEL WA THT AVUNJA MWIKO UNAO WASHINDA WANAWAKE WENGI WA KITANZANIA.

    Mwanamke   wa kiafrika   anaweza   kufanya   kila   kitu   ambacho   mwanaume   anaweza   kukifanya, kasoro   kitu kimoja   tu,nacho   ni   “KUMTONGOZA   MWANAUME!!!” Rachel   akiwa  na  Linah Ni   nadra   sana kwa mwanamke   wa   kiafrika kumtongoza   mwanaume hata   kama   anampenda   kwa   kiasi   gani. Sana   sana anacho weza   kufanya   ni kumuonyesha   vitendo   tu   au   kumsifia   (kumchombeza) lakini   kumtamkia   maneno   ni   nadra   sana. Lakini   kwa   mwanadada   Rachel   wa   THT   hali ipo   tofauti kidogo.   Akipiga   interview   na   Sporah   Show, Rachel   amesema    aliwahi   kumtongoza   mwanaume na    mambo   yakawa ...

RACHEL WA THT : SIJAWAHI KUTEMBEA NA MWANAUME MWEUSI NA WALA SINA MPANGO WA KUTOKA KIMAPENZI NA MWANAUME MWEUSI.

Akifanya   interview   na    Sporah   Show, Msanii   wa   muziki   wa   Bongo   Flava, Rachel   amefunguka   kuwa   hajwahi   kutoka   kimapenzi na   mwanaume mweusi   na wala hana mpango   wa   kutoka   kimapenzi na   mwanaume mweusi. Rachel   alisema   tangu   aanze   kujihusisha   na   mahusiano   ya   kimapenzi,amekuwa   akitoka   na wanaume wa kiarabu,kihindi,nakiburushi. Aliongeza   kuwa   mpenzi   wake wa mwisho   ambaye   alikuwa   muhindi, alitaka   kumchumbia,lakini   Rachel   hakukubaliana   naye   kwa   sababu ya   tofauti   za   kidini   na   kiutamaduni. Alipoulizwa   kama   amewahi   kuwa   na   mpenzi   ‘mswahili’ , Rachel   alikataa   kata   kata,na alipouli...