Bamia ni
mboga maarufu hapa
Tanzania. Mbali na kuwa na
ladha nzuri, lakini pia
bamia ina faida mbalimbali
za kiafya kwa
mwili wa mwanadamu.
Zifuatazo ni
faida ishirini ( 20 )
za kiafya za
mboga mboga aina
ya bamia.
1.
Inapunguza kolestrol
2.
Inasaidia kuondoa
vimelea vya sumu
kwenye ngozi.
3.
Inasaidia katika
kutibu magonjwa mbalimbali
ya zinaa kama
vile kaswende, kisonono.
4.
Vilevile inaponya
tatizo la kwenda
hedhi mara kwa
mara na chango la kike
5.
Inasaidia kutibu
pumu ( asthma)
6.
Inaongeza kinga
ya mwili
7.
Ina
utajiri mkubwa wa
virutubisho aina ya
fibre
8.
Ina
utajiri mkubwa wa
virutubisho mwili aina
ya protini (
hamirojo )
9.
Ina saidia kuimarisha
afya ya nywele
10.
Inasaidia kupambana
na tatizo la
uchovu wa mwili, na
msongo wa mawazo.
11.
Inasaidia kutibu
tatizo la kukosa
choo.
12.
Inawasaidia wanao
sumbuliwa na tatizo
la kisukari
13.
Inasaidia kusafisha
damu
14.
Inasaidia kuponya
mafua
15.
Inasaidia kuondoa
sumu mwilini
16.
Inasaidia kutibu
vidonda vya tumbo
17.
Inasaidia kukinga
tatizo la anemia
18.
Ina
kinga dhidi ya
utapiamlo (unene uliopitiliza )
19.
Inasaidia kuimarisha
mifupa
20.
Inasaidia kuimarisha
mfumo wa uonaji
IMEANDALIWA NA
NEEMA HERBALIST 0766538384.
nasikia sio mzuri kwa wanaume coz inapunguza nguvu za kiume ni kweli ?
ReplyDeleteTehe tehe ......unagusa very sensitive matter,utatisha watu waache kabisa kula bamia
ReplyDelete