Skip to main content

MAMBO MANNE USIYO YAJUA KUHUSU MSANII JUX.





Jux  Vuitton ni  msanii  anaye  fanya  vizuri  sana  kwa  sasa  katika  tasnia  ya  muziki  wa  bongo  fleva. 
Msanii  huyu  anaye  tajwa  kama  mfalme  wa  bling  bling  Tanzania, anakubalika  sana  kwa  sasa  na  baadhi  ya  wataalamu  wa  masuala  ya  muziki  wa  Tanzania, wanasema  Jux  ndio  haswa  atakaye  pokea kijiti  cha  Diamond  Platnums  katika  ufalme  wa  muziki  wa  Bongo  Fleva, Tanzania.


Jux  na  Vee  Money


Akifanya   interview    na  kituo  kimoja  cha  habari, Jux  alieleza  maswala  mbalimbali  kuhusu  yeye  na  muziki  wake.  Kati  ya  mambo  aliyo  yataja  Jux , nimekuletea  haya  hapa  ambayo  ulikuwa  hauyafahamu  vizuri.

1.    UMEKUWA  UKIFANYA  MUZIKI  WA  RnB  ZAIDI. JE  UNA  MPANGO  WA  KUBADILISHA  STYLE  YAKO  YA  UIMBAJI  NA  KUANZA KUIMBA  KAMA  WANAVYOIMBA  WASANII  WENGINE  WA  BONGO  FLEVA, AMBAO  WENGI  WAO  HUBADILIKA  BADILIKA  KUTOKANA  NA  SOKO.


JUX  : No!  Sina  mpango  huo !
2.    BAADHI  YA  WATU  WANASEMA  UNAFANYA MUZIKI  KAMA  HOBBY  NA  SIO  BIASHARA.

No ! sifanyi  muziki  kama  hobby, nafanya  muziki  biashara. Sema  tu  mambo  ya  shule  yalikuwa  yamenibana  sana  ndo  maana  nikawa  kimya  kwa  muda  mrefu.

3.    NI  WASANII  GANI  WA  HAPA  BONGO  UNAO  WAKUBALI  ZAIDI.
JUX : Nina  wakubali  zaidi, Ben  Paul,.  Steve  R n B na  Belle  9.

4.    KITU  GANI  AMBACHO  MASHABIKI  WAKO  HAWAKIJUI  KUTOKA  KWAKO  NA  UNGEPENDA  WAKIJUE ?
JUX :  Watu  wengi  wanadhani  labda  mimi  huwa  nina  ringa. Lakini  sio kweli.  Mimi  si  ringi. Napiga stori  na  kila  mtu  na  simbagui  mtu  yoyote  Yule. You know  watu  wengine wakiona  jinsi  ninavyo  vaa  na  swag  zangu, wanadhani  labda  mimi  ni mtu  ninaye  jisikia  sana. Lakini  si  kweli. Nipo  cul  sana, siringi , ninamuheshimu  kila mtu  na  ninapiga stori na w atu  wa aina zote  bila  kujali  hadhi  zao.

BIG  UP  SANA  JUX.
Kutazama  interview  hiyo  bonyeza  hapa


Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...