ZIJUE SABABU KUMI KWA NINI NYWELE ZAKO
ZINANYONYOKA
Kama uemgundua
nywele zako zinanyonyoka, usi panic. Sababu inaweza
kuwa rahisi. Inaweza kuwa
ni ukosefu wa
vitamin au sababu
za kinasaba ( urithi ).
Zifutazo ni sababu kwa nini
nywele zako zinanyonyoka.
1.
Stress
Kila aina
ya physical and emotional pain
inaweza kusababisha kunyonyoka
kwa nywele. .
Ajali ya gari
au kufanyiwa upasuaji
vinaweza kukusababishia stress
ambayo itakuletea kunyonyoka
kwa nywele zako.
Emotional stress hazisababishi
kunyonyoka kwa nywele
lakini inaweza kutokea
pale unapokuwa katika
wakati mgumu kisaikolojia
kama vile kumpoteza
mtu wako wa
karibu kutokana na
kifo au kuachwa
kimapenzi. Hata hivyo,.
Baada ya
wakati huo mgumu, nywele
zako zitaanza kuota
tena baada ya
miezi sita.
2.
Homoni
Kunyonyoka kwa
nywele kunaweza kuwatokea
wanawake w alio katika
menopause kutokana na
kuadilika kwa viwango
vya homoni. Inaweza
kutokea pia kwa
wanawake wanaotumia vidonge
vya uzazi wa mpango
hususani wanapokuwa wana
ahirisha mara kwa
mara zoezi la
kutumia vidonge hivyo.
Unashauriwa kama unatumia
vidonge kwa uzazi
wa mpango, basi hakikisha
unazingatia ratiba na
usiahirishe hata mara
moja.
3.
Ukosefu wa Protini
au Hamirojo
Ukosefu wa
protini unaweza kudhoofisha
ukuaji wa nywele au
kusababisha kunyonyoka kwa
nywele kabisa na hatimaye
kuwa na kipara
kabisa.
4.
Ujauzito
Ujauzito ni
miongoni mwa mambo yanayo
leta physical stresses and
there are also na pia huleta
mabadiliko ya homoni. Kunyonyoka kwa nywele
hutokea baada ya
kujifungua.
5.
Kurithi
If
any of your parents at some time started to lose hair, it is very possible for
the same thing to happen to you.
Kama mmoja
kati ya wazazi
wako au babu
zako wa upande
wa baba au
mama aliwahi kuwa
na tatizo la
kunyonyoka nywele au
kuwa na kipara
kabisa, basi kuna uwezekano mkubwa
sana kwa jambo
hilo kutokea kwako
pia kwa sababu
za urithi. Hakuna
maelezo yoyote ya
kitabu kuhusu jinsi
ya kukinga suala
hili , hata hivyo unaweza
kujaribu kutumia vyakula
na dawa mbalimbali
bila kujali sababu
iliyo fanya unyonyoke
nywele au kuwa
na kipara.
6.
Vinasaba vya kiume
Tafiti mbalimbali
za kisayansi zinaonyesha
kuwa, wanaume wengi wana anza
kuonyesha dalili za kunyonyoka
mwele wakiwa na
umri wa kuanzia
miaka sitini ( 60) na kuendelea. So
kama wewe ni
mwanaume mwenye umri wa
kuanzia miaka 60
na kuendelea na
nywele zako zimeanza kuonyesha
dalili za kunyonyoka, huna haja
ya kupanic wala
kutafuta tiba, kwani suala
hilo ni la
kawaida kabisa kwa wanaume
wenye umri wako.
7.
Anemia
Anemia husababishwa
na ukosefu wa
madini ya chuma
katika damu. Watu wengi
wanasumbuliwa na tatizo
hili (anemia ). Hata hivyo, ili
kupambana na tatizo
hili unachotaiwa kufanya
ni kuzingatia matumizi
ya vyakula vyenye
madini ya chuma
katika mlo wako.
8.
Matumizi ya vitamin
A kupita kiasi.
Malimbikizo ya
vitamin A mwilini
husababisha kunyonyoka kwa nywele. Hata
hivyo kunyonyoka kwa nywele
kunako sababishwa na malimbikizo ya
vitamin A mwilini huwa
ni kwa muda tu.
Nywele zako zitarejea
katika hali yake
ya kawaidautakapo punguza
matumizi ya vyakula vyenye vitamin A kwa
wingi kupita kiasi kwa
sababu mwili wako utaweza
kubalance vitamin zote mwilini.
9.
Kupunguza uzito kwa
haraka.
Kupungua uzito
kwa haraka kunaweza
kukufurahisha. Lakini hata hivyo, hii
inaweza kukusababishia kunyonyoka
kwa nywele kutokana
na stress zilizo
sababishwa katika mwili
wako.
10.
Matatizo kwenye tezi
aina ya thyroid
( Thyroid Gland )
Thyroid
gland ina husika na
michakato mbalimbali katika
mwili wa mwanadamuikiwemo ukuaji
wa nywele. Kama
tezi hii haizalishi
homoni za kutosha, inaweza kusababisha
kunyonyoka kwa nywele.
Ukiwa katika situation
hii, unashauriwa kumuona daktari
kwa ushauri zaidi.
DAWA ASILIA
YA KUTIBU TATIZO
LA UPARA NA KUKATIKA
KWA NYWELE.
Tunayo dawa
nzuri ya asili, ambayo hutibu
kipara pamoja na
tatizo la ku katika
katika kwa nywele.
Dawa hii asilia
isiyo na kemikali
yoyote, mbali na kutibu
na kumaliza kabisa tatizo
la kipara na
kukatika katika kwa
nywele, pia inasaidia kurefusha
nywele pamoja na
kuimarisha afya ya
nywele.
DOZI YA
DAWA : Dozi kamili ya
dawa hii hutumika
kwa muda wa
siku tisini mfululizo.
Dozi ya
kwanza hutumika kwa
siku thelathini, dozi ya
pili hutumika kwa
siku thelathini na
dozi ya tatu
hutumika kwa siku
thelathini. Jumla ni siku
tisini.
BEI YA DAWA: DOZI
YA DAWA HII, INAUZWA
KWA SHILINGI ELFU
THEMANINI (Tshs.80,0000)
TU
KWA KILA DOZI.
JINSI YA
KUIPATA DAWA HII: DAWA
HII INAPATIKANA KATIKA
DUKA LA KUUZA DAWA
ASILIA LA NEEMA
HERBALIST & NUTRITIONAL
FOODS CLINIC LILILOPO JIJINI DAR
ES SALAAM KATIKA
ENEO LA TABATA
MAKOKA KARIBU NA
SHULE YA SEKONDARI
YA MTAKATIFU ANNUARITE.
Kwa wasio
weza kufika ofisini
kwetu, tunatoa huduma ya
kuwapelekea dawa mahali
walipo
(
DELIVERY )
Kwa
wateja
wa Zanzibar, tunawatumia dawa kwa
kutumia usafiri wa
boti. Kwa wateja wa
mikoani, tunawatumia dawa kwa
njia ya usafiri
wa mabasi na
kwa wateja waliopo
ughaibuni, tunawatumia dawa kwa
njia ya POSTA
au DHL.
Kwa
mahitaji
ya dawa hii
wasiliana nasi kwa
simu 0766538384.
Na kwa
taarifa zaidi, kuhusu huduma
zetu nyinginezo, endelea kutembelea:
Comments
Post a Comment