Skip to main content

MAHARUSI WAUWAWA KWA RISASI SIKU YA HARUSI





 Tukio  hili  la  kusikitisha  limetokea   siku ya  Jumamosi  ya  tarehe  31 Januari 2015  huko  nchini  Nigeria    katika  jimbo  la  Delta.


Stephanie   ambaye  ni  muhitimu   wa  Chuo  kikuu  katika  moja  wapo  kati  ya  vyuo  vikuu  vilivyopo  katika  jimbo  la  Delta  alikuwa  katika  uhusiano  wa  kimapenzi  na  mwanaume   aliye  julikana  kwa  jina  la  Teddy  kwa  muda  wa  miaka  nane (8).
Baada  ya  kuhitimu  masomo  yake  ya  chuo  kikuu  mwishoni  mwa  mwaka  jana, alimmwambia  mchumba  wake  ( Teddy)  kuwa  amechoshwa    na  kukaa  kwenye  uhusiano  wa  kimapenzi  kwa  muda  wa  miaka  minane  bila  kufunga  ndoa, lengo  likiwa  ni  kumshinikiza  TEDDY    aharakishe  mipango  yao  ya  ndoa  lakini  Teddy   akampuuzia ama  kumpotezea  Stephanie  na  kuendelea  na  mambo  yake  huku  Stephanie  akiwa  hajui  hatima  ya  uhusiano  huo.  

Imeelezwa  kuwa  Teddy  alikuwa  busy  na  hamsini  zake  na  alikuwa  ndo  kwanza  amepata  ajira  kwenye  kampuni  moja  kubwa  nchini  Nigeria, hivyo  muda  mwingi  akawa  anautumia  kazini  kwake  na kampani  yake  kubwa  ikiwa  wafanyakazi wenzake.
Kwa  sababu   hii  Stephanie  akaamua  kuvunja  uhusiano  wake  na  Teddy  huku  Teddy  akijaribu  kurejesha  uhusiano  wao  lakini  bila  kutaja  suala  la  kwenda  madhabahuni.
Ikaelezwa  zaidi, mwezi  Desemba  mwaka  jana, mwanaume  mmoja anae  ishi na  kufanya  biashara zake  nchini  Uingereza  alirejea  nyumbani Nigeria  kwa  lengo  la  kutafuta  mke  wa  kuoa.
Mama  wa  Stephanie  ali mu –introduce  jamaa huyo  kwa  Stephanie.
Stephanie  alikuwa  desperate sana  na  suala  la ndoa  kwani  mates  wake  wote  walikuwa  wameolewa , hivyo  alimuona  mwanaume  huyo  kama  aliyetumwa  kutoka  kwa  Mungu  na  alimkubali  haraka  sana  kasha  mipango  ya  ndoa  ikaanza  kufanyika  bila  Teddy  kujua  chochote  kinacho  endelea.
Wawili   hao  walianza  kupanga  mipango  ya  harusi  bila  kujua  hatari  iliyokuwa  ikiwasubiri  mbele  yao.
Siku  moja  kabla  ya  harusi    Teddy  alifahamishwa  kuhusu   tukio  hilo  na  kukasirishwa  sana.
Siku  ya  harusi  Teddy  alitinga  ukumbini  hapo  akiwa na  bunduki  aina  ya   AK 47  na kuketi  kama  mmoja  wa  waalikwa.
Tatizo  lilianza  pale   maharusi  walipo  anza  ku dance. Teddy  alisimama  na  kuwarushia  risasi  wawili  hao ambao  walikufa  papo hapo.
Baada  ya  kuwaua  wawili  hao, Teddy  alimpiga  risasi  mama  mzazi  wa  Stephanie  na  kumua  papo  hapo  na  kisha  kuendelea  kurusha  risasi ovyo  ovyo  kwa  wageni  waalikwa  na w atu  mbalimbali waliokuwa  katika  ukumbi  huo.
Hadi  habari  hii  inaingia  mtamboni, Teddy  anashikiliwa katika  kituo  cha  polisi  huku  familia  za  marehemu  ikiendelea  na  taratibu  za  kuwazika   wapendwa  wao.

CHANZO  :  BLOGS  NA  MITANDAO  MBALIMBALI  YA  HABARI  NCHINI  NIGERIA.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...