Bernando
LaPallo ni raia wa
raia wa Marekani ambaye
alizaliwa nchini Brazil
tarehe 17 Agosti 1901 . Mzee
huyu pamoja na
kufikisha umri wa
miaka 113 lakini
anaonekana mwenye afya
tele. Kwa muonekano wake, ni kama
mzee wa miaka 65 au 70
hivi.
Katika kitabu
chake Age Less/Live More:
Achieving Health and Vitality at 107 and Beyond, mzee huyu
anaelezea vyakula vitano
ambavyo vilikuwa havikosekani
katika mlo wake
wa kila siku. Babu
huyu
anasema ulaji wa
vyakula hivyo umechangia
kwa kiasi kikubwa
kumfanya afikie umri
huo.
Vyakula hivyo
ni kama ifuatavyo :
1. VITUNGUU SWAUMU
2. ASALI
3. MDALASINI
4. CHOCKOLATE NYEUSI
5. MAFUTA YA
MZEITUNI.
Vyakula
vyote
vilivyotajwa hapo juu
vina virutubisho muhimu
sana katika kuongeza
kinga ya mwili
wa mwanadamu na kumsaaidia
kupambana na magonjwa
mbambalimbali.
Katika makala
zetu zilizopita,
tumezungumzia faida za
kutumia vyakula tajwa
hapo juu na
namna ya kuvitumia. Una ngoja nini?
Anza leo
kujumuisha vyakula
tajwa hapo juu
katika mlo wako, upate
kuimarisha kinga ya
afya yako.
I
METAYARISHWA NA NEEMA
HERBALIST 0766538384.
Comments
Post a Comment