Skip to main content

RACHEL WA THT AVUNJA MWIKO UNAO WASHINDA WANAWAKE WENGI WA KITANZANIA.



  


Mwanamke  wa kiafrika  anaweza  kufanya  kila  kitu  ambacho  mwanaume  anaweza  kukifanya, kasoro  kitu kimoja  tu,nacho  ni  “KUMTONGOZA  MWANAUME!!!”



Rachel   akiwa  na  Linah

Ni  nadra  sana kwa mwanamke  wa  kiafrika kumtongoza  mwanaume hata  kama  anampenda  kwa  kiasi  gani. Sana  sana anacho weza  kufanya  ni kumuonyesha  vitendo  tu  au  kumsifia  (kumchombeza) lakini  kumtamkia  maneno  ni  nadra  sana.

Lakini  kwa  mwanadada  Rachel  wa  THT  hali ipo  tofauti kidogo.  Akipiga  interview  na  Sporah  Show, Rachel  amesema   aliwahi  kumtongoza  mwanaume na   mambo  yakawa  mazuri tu, akimaanisha, mwanaume  akakubali  na wakaingia  katika uhusiano.
Sporah :Umewahi  kumtongoza  mwanaume?

Rachel  :Ndio  nimewahi  kufanya  hivyo ?

Sporah  :Na  mambo  yakawaje ?
Rachel  :  Mambo  yakawa  vizuri  tu  tena poa  sana.

Kama  anacho  kisema  ni  kweli, basi  Rachel atakuwa   amevunja  mwiko  unao washinda wanawake  wengi wa kiafrika.  Miaka  ya  nyuma, ilikuwa  nadra  sana kwa  mwanamke wa kiafrika kumtongoza  mwanaume, lakini  siku hivi  karibuni,mambo  yamebadilika  kidogo,wapo  wanawake  wanao  tongoza  wanaume  katika namna  ile ile  ambayo  wanaume  wanawatongoza  wanawake.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...