Anaitwa
Nsia Swai, dada aliyepata umaarufu baada ya fundi uchwara wa kompyuta
kuacha maadili yake ya kazi na kuamua kuzitawanya mitandaano picha za
utupu za huyu dada. Huyu dada endapo ningekutana naye mtaani hakika
ningeziba masikio na kufumba macho kuhusu skendo iliyomkuta na kisha
ningetangaza ndoa.
CREDIT : JAMII FORUMS
Comments
Post a Comment