Hope Lucy Ruhinda; NAPENDA KUWA NA MWANAUME ASIE NIPANGIA AINA YA MAVAZI YA KUVAA Hope Lucy Ruhinda ( 25 ) ni mwanamitindo anae fanya vizuri sana katika tasnia ya urembo nchini Afrika. Mwanamitindo huyu ambaye ni mtanzania kwa mama, na mnyarwanda kwa baba, kupitia kazi zake za mitindo , ameonyesha nia ya kufika mbali katika tasnia ya mitindo., huku lengo lake likiwa kufikia level za kimataifa kama Naomi Campbell. Akielezea kuhus safari yake katika tasnia ya mitindo, Hope anasema “ Tangu nikiwa shule ya msingi, s...