Skip to main content

TIBA ASILIA YA TATIZO LA KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI

TIBA   ASILIA   YA  TATIZO  LA KUKONDA  NA    KUDHOOFIKA  MWILI .






Utangulizi

Kukonda, kudhoofika  na/ ama  kupungua  uzito  bila  sababu  ni  tatizo  linalo  wakabilia  watu wengi  duniani.
Mgonjwa  hupungua    hukonda, kudhoofika  na  kupungua  uzito kwa  kasi  bila   sababu  ya  msingi  kama  vile  kuanya  diet  maalumu  ya  kupunguza  uzito  au  kufanya  mazoezi  maalumu  ya  kupunguza  uzito.
Hali  hii  ( kupungua  mwili na  uzito  bila  kufanya diet  au  mazoezi)  inapotokea, ndipo  tunasema, mhusika  amedhoofu  mwili.

Chanzo  Cha  Tatizo  La  Kudhoofu  Mwili

Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitabibu,  tatizo  la  kupungua  uzito na  kudhoofu  mwili, husababishwa  na  mambo  yafuatayo ;

i.                   Kuugua  magonjwa  na  maradhi  mbalimbali  kama  vile  kisukari  nakadhalika.
ii.              Ukosefu  wa  lishe  bora
iii.           Msongo  wa  mawazo
iv.            Ukosefu  wa  hamu  ya  kula


Dalili   Za  Mtu  Aliye  Dhoofu  Mwili

Dalili  za  mtu  aliye  dhoofu  mwili, hutegemea  na  aina  ya  kirutubisho  ambacho mwili  umekikosa. 

Lakini  hata  hivyo, zipo dalili  za  ujumla, ambazo huwatokea  watu wengi wenye  tatizo  la  kudhoofu  mwili.’

Dalili  hizo  ni  pamoja na :

i.                  Ngozi  kupauka
ii.              Kujisikia  uchovu
iii.           Mwili  kuwa  mwepesi  na  dhaifu
iv.            Kupungua  uzito  kwa   kiwango kikubwa
v.               Kupumua  kwa shida
vi.            Mhusika kupenda  sana  chakula  cha  aina  moja  tu ilihali  hakiwa  hana appetite kabisa  na vyakula vya  aina nyingine.
vii.        Nywele  kunyonyoka
viii.     Kukosa  choo  ama  choo  kufunga
ix.            Mapigo  ya  moyo kwenda  kasi
x.               Mwili kuishiwa  nguvu
xi.            Miguu  kukosa  ganzi
xii.        Kwa  wanawake : kupatwa  matatizo mbalimbali  ya  hedhi.


Tiba  Asilia  Ya  Tatizo  La Kudhoofu  Mwili

DAWA-LISHE   ni  tiba asilia inayo tibu  na  kuponyesha kabisa  tatizo la  kudhoofu mwili.

Tiba  hii  husaidia  kuunenepesha na   kuupa  nguvu  mwili  na  kuurejesha  katika  hali  yake  ya  kawaida.

Tiba  hii ni  ya  asili  kabisa ( Pure  HERBAL ), isiyo na  kemikali za  viwandani.

GHARAMA :  Dawa  hii, inapatikana  kwa gharama  ya  SHILINGI  ELFU  HAMSINI (Tshs.50,000/=)

Inauzwa   na  kusambazwa  na  duka  la  dawa  za asili  la  NEEMA  HERBALIST. Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM, nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA, jirani na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.

Kwa  wateja  waliopo  Dar  Es  Salaam, ambao  hawana  nafasi  ya  kuja  ofisini, watapelekewa  dawa  mahali  walipo  (  Home &  Ofice  Delivery )


Kwa  wateja  waliopo  mikoani, watatumiwa  dawa  kwa  mabasi  mbalimbali.

Kwa  waliopo  Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  boti.

Kwa  wateja  waliopo Mombasa, watatumiwa  dawa  kwa  gari  la  TAHMEED.

Kwa  wateja  waliopo  Nairobi, watatumiwa  dawa  kwa njia  ya  basi  la  DAR  EXPRESS.

Wasiliana  nasi  kwa  simu  namba   0766  53  83  84.

Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu huduma zetu, endelea  kututembelea  kila  siku, katika  blogu yetu:




Comments

  1. Nimelipenda somo hili .

    Naomba kuuliza!
    Mimi nakosa hamu ya kula hasa muda wangu wa kula ukipita. Je nami naweza kupata tatizo la kudhoofu mwili?
    Naomba usaidizi hapo

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA