Tanzania imebarikiwa
kuwa na miti mbalimbali, inayo tumika katika
tiba ya magonjwa
na matatizo mbalimbali
ya kiafya.
Mgunga Chuma, ni
miongoni mwa miti
mingi yenye faida
kubwa za kitabibu, ambayo inapatikana
nchini Tanzania.
Mizizi, majani, mbegu, matunda, utomvu hadi
magamba ya mti
huu, hutumika katika tiba
ya magonjwa mbambaimbali
yanayo msumbua mwanadamu.
Yafuatayo ni
baadhi ya magonjwa
ambayo huweza kutibiwa
kwa kutumia mti
wa Mgunga Chuma.
Utomvu wa Mgunga Chuma una tumika katika tiba mbalimbali, kama vile kulainisha ngozi pamoja na kuondoa uwasho kwenye ngozi |
1. Mgunga chuma
hutumika katika tiba
dhidi ya saratani
za aina mbalimbali.
2. Hutumika katika
kutibu na kuponyesha
kabisa tatizo la
kuvimba kwa masikio, macho na korodani.
3. Mgunga Chuma hutumika katika
tiba dhidi ya kifua
kikuu
4. Hutumika katika
tiba ya kuimarisha
mfumo wa utendaji
wa ini pamoja
na magonjwa yote
ya ini.
5. Majani ya MGUNGA CHUMA hutumika
katika kutibu
na kuponyesha kabisa magonjwa
na matatizo
mbalimbali ya kiafya kama
vile; kuharisha, vidonda vya
tumbo, kupoteza kumbukumbu , kifafa
cha kawaida, kifafa cha
mimba, pumu, kiharusi, kansa, bakteria
nakadhalika.
Magonjwa mengine
yanayo tibiwa na
Mgunga Chuma, ni pamoja
na :
6. Kutibu
na
kuponyesha kabisa tatizo
la Pumu
7. Hutumika kusafisha
ini na kutibu magonjwa
na matatizo mbalimbali
katika ini.
8. Hutumika katika
tiba dhidi ya
magonjwa mbalimbali ya
ngozi
9. Hutumika kulainisha
ngozi na kuifanya
kuwa nyororo
10.
Husaidia
kutibu homa na
malaria sugu
11.
Hutumika
kusafisha damu na
kusawazisha kiwango cha
sukari mwilini.
12.
Husaidia
kutibu na kuponyesha
kabisa tatizo la
mzio pamoja na
pumu sugu.
13.
Husaidia
kuzuia bateria kwenye
ngozi
14.
Hutibu
tatizo la fangasi
wa miguuni
15.
Husaidia
kuondoa sumu mwlini
16.
Husaidia kupoza na kuondoa
muwasho wa kwenye
ngozi hata kama
ngozi yako imepakwa
na upupu.
17.
Husaidia
kutibu kidonda kibichi
na kuzuia damu
kuendelea kumwagika
18.
Kuongeza
kinga ya mwili
19.
Kutibu
tatizo la presha
na kisukari
20.
Kutibu
tatizo la lehemu
mbaya mwilini
21.
Kutibu
magonjwa mbalimbali ya
figo
22.
Kutibu
vidonda vya tumbo
23.
Kutibu
tatizo la uvimbe
wa tumboni
24.
Husaidia
kurutubisha mayai ya
uzazi
25.
Husaidia kusafisha
mirija na mfuko
wa uzazi
26.
Husaidia
kuzuia tatizo la
kuchoropoka kwa mimba.
PAMOJA NA
MAGONJWA MENGINEYO MENGI.
======================================================================
Makala haya
yameletwa kwako na
NEEMA HERBALIST, DUKA LA DAWA
MBALIMBALI ZA ASILI.
Tunapatikana UBUNGO jijini
DAR ES SALAAM, jirani na
SHULE YA MSINGI
UBUNGO NATIONA HOUSING
nyuma ya jengo
la UBUNGO PLAZA.
Kwa mahitaji
yao ya dawa
mbalimbali za asili, wasiliana nasi
kwa SIMU NAMBA
0766 53
83 84
Na kwa
taarifa zaidi kuhusu
huduma zetu, tutembelee kila
siku katika blogu
yetu :
Upate kujua mambo mbalimbali kama vile
:
1. JINSI SUALA LA UPIGAJI
PUNYETO LINAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
2. JINSI
SUALA LA KITAMBI,
UNENE NA UZIO ULIO ZIDI, LINAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
3. UHUSIANO ULIOPO KATI YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA MAGONJWA MBALIMBALI KAMA VILE
: Kisukari, Presha, Shinikizo La Damu, Kolestrol
Mbaya Mwilini , Magonjwa Ya Moyo,
Magonjwa Ya Figo, Ngiri, Msongo wa Mawazo,
Maumivu Ya Mgongo,
Magonjwa Katika Mishipa Ya Kusafirishia Damu Mwilini na Hitilafu Katika Mfumo wa Usafirishaji na Utiririshaji wa Damu mwilini.
4. JINSI UNAVYO WEZA KUONDOA KITAMBI NA KULIFANYA TUMBO LAKO KUWA FLAT KABISA NDANI YA SIKU 14
5. JINSI UNAVYO
WEZA KUPUNGUZA UNENE NA UZITO
MKUBWA NDANI YA SIKU THELATHINI.
6. KWA MTU ULIE KONDA NA KUDHOOFIKA;
JINSI UNAVYO
WEZA KUNENEPA NA KUREJESHA AFYA YAKO NDANI YA SIKU THELATHINI.
7. JINSI
UNAVYO WEZA KUPONA KABISA TATIZO
LA BAWAZIRI NDANI YA SIKU THELATHINI.
8. JINSI
UNAVYO WEZA KUTIBU TATIZO LA UVIMBE WA TUMBONI PAMOJA NA UVIMBE WA KWENYE KIZAZI NDANI YA
SIKU THELATHINI.
Comments
Post a Comment