Skip to main content

TEKETEKE- NYORORO : DAWA ASILIA YA KULAINISHA NGOZI YA MAKALIO.




Kuwa na  michirizi, vipele, madua, mabaka  na  hata  ukurutu  kwenye  ngozi  ya  makalio  ni  tatizo  linalo  wakabili  wanawake  wengi  duniani.    Tatizo  hili  limekuwa  likiwakosesha  raha  wahusika  na  kuwafanya  kukosa  amani  pindi wakutanapo  na  wenzi  wao  wakati  wa  faragha.

Hata  hivyo  unaweza  kumaliza  tatizo  hili  kwa  kutumia  dawa   asilia  iitwayo  Teketeke-Nyororo.

Dawa  hii  hufanya  kazi  zifuatazo :
i.                  Hulainisha  ngozi  ya  kwenye  makalio  na  kuifanya  kuwa  laini  sana
ii.              Huondoa  chunusi  na  vipele  vya kwenye makalio
iii.           Huondoa mabaka , madoa na michirizi  ya  kwenye  makalio.
iv.            Hutumika  pia  kulainisha  ngozi  ya  kwenye  sehemu nyinginezo  za  mwili  kama vile  Hips, mapaja, miguu  nakadhalika.

Vile  vile, tunazo  dawa  mbalimbali  za  asili  kama  vile :
1.   Dawa  asilia  ya  kurefusha  nywele, kuzuia  kukatika kwa  nywele  na  kuzifanya   kuwa  nyeusi na zenye  afya.
2.   Dawa  asilia  ya  kuondoa  harufu  mbaya  ya  kinywa
3.   Dawa  asilia  ya kuondoa  harufu  mbaya  ya  kwenye  kikwapa
4.   Dawa  asilia ya  kutibu  tatizo  la  fangasi  za  ukeni
5.   Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  kutokwa  na  harufu  mbaya  ukeni
6.   Dawa  asilia  ya  kutibu  tatizo  la  fangasi  za  kwenye  miguu
7.   Dawa  asilia  ya kutibu  tatizo  la  chunusi  na  vipele  usoni.
8.   Pamoja  na  dawa  nyingine  nyingi.
Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM,  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jen go  la  UBUNGO  PLAZA.
Kwa  wateja  wa jijini  Dar  Es  Salaam, wasio weza  kufika  ofisini  kwetu, tunayo  huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  popote  walipo  jijini  Dar  Es  Salaam  ( Home & Office Delivery )
Kwa  wateja  waliopo  mikoani, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  magari.
Kwa  wateja  waliopo  Zanzibar, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  boti.
Kwa wateja  wetu  wa  Mombasa, watasafirishiwa  dawa  kwa   bus  la  TAHMEED.
Kwa  wateja  waliopo  NAIROBI, watasafirishiwa  dawa  kwa  bus   la  DAR  EXPRESS
Na  kwa  wateja  waliopo  UGHAIBUNI, watasafirishiwa  dawa  kwa  njia  ya  POSTA  au  DHL.
TUNAPATIKANA  KWA  SIMU  NAMBA  0766  53 83 84.
Kwa  taarifa  zaidi kuhusu  huduma  zetu, tutembelee  kila  siku   kwenye  blogu yetu:

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...