Hope Lucy
Ruhinda; NAPENDA KUWA
NA MWANAUME
ASIE NIPANGIA AINA YA
MAVAZI YA KUVAA
Hope Lucy Ruhinda
( 25 ) ni mwanamitindo anae
fanya vizuri sana katika
tasnia ya urembo nchini
Afrika. Mwanamitindo huyu ambaye
ni mtanzania kwa
mama, na mnyarwanda kwa
baba, kupitia kazi zake
za mitindo , ameonyesha nia
ya kufika mbali
katika tasnia ya
mitindo., huku lengo lake
likiwa kufikia level
za kimataifa kama
Naomi Campbell.
Akielezea kuhus
safari yake katika tasnia
ya mitindo, Hope
anasema
“ Tangu nikiwa shule
ya msingi, siku zote
nilikuwa nikitamani sana
kuwa muimbaji, dancer au mwanamitindo. Lakini kwa
kuwa sikuwa na
kipaji cha kuimba
wala kudance, nikaamua
kujikita katika mitindo “
Akaongeza “ Nilipofika
O-Level nikaanza kufanya
modeling for fun.
Hapo nilikuwa bado Tanzania.
Nilipo maliza O-Level huko
Tanzania, nilikuja kujiunga na
masomo ya A-Level
katika shule ya sekondari
ya FAWE Girls’ Secondary
School hapa Kigali.”
Nilipo maliza A-Level nilienda kushiriki
Miss Rwanda, baada ya
kushauriwa na kushawishiwa
na rafiki zangu
wa karibu. Mwanzoni
nilikuwa mgumu kukubali
ushauri wao, lakini baada ya
kutafakari kwa muda,
nikaamua kushiriki. Kwenye
mashindano sikufanikiwa kuchukua
taji la Miss
Rwanda, Nililia sana siku
hiyo. Sababu kuu
ya kushindwa kwangu, walitaka mtu anaye weza kuzungumza
Kinyarwanda fluent, na mimi
sikuwa na uwezo
huo.
Hata hivyo, shindano la
Miss Rwanda lilinipa
exposure kubwa sana. Baada
ya kuniona, baadhi
ya wadau wa
masuala ya mitindo, walinishauri niingie
kwenye mitindo.
So show
ya Rwanda Cultural
Fashion ilipoanza, mwaka 2013
nilijiandikisha na kushiriki na kufanya
vizuri sana.
Niliingia
kwenye modeling ili niweze
kublend it na business. Nina ndoto za
kuwa mfanya biashara
mkubwa, ndio maana ninasoma
biashara pale University Of
Kigali
Hope
anawashauri wanamitindo wafanye
kazi kwa kujituma na wawe
wajanja wa kutafuta
na kuzitumia fursa mbalimbali za mitindo, kwani modeling ni kazi
kubwa yenye fursa
nyingi sana za kibiashara.
Ana amini
kuwa kujulikana “ exposure’ ni hatua kubwa
sana kwa mwanamitindo
kuweza kupata nafasi ya kupata
deals na endorsements
Pamoja na
kwamba, ana ndoto za
kuwa mfanyabishara mkubwa, lakini ana amini pesa si
kila kitu. Kwake yeye
kuwa na hekima
ni bora kuwa
na pesa na
mali nyingi. “ Maarifa hudumu
daima milele lakini, pesa
na mali huweza
kuisha na kutekeketea
wakati wowote.
Akitoa
maoni na mtazamo wake kuhusu
wanaume anasema “ Wanawake hatuwezi kuishi bila
wanaume. Vile vile, wanaume hawawezi
kuishi bila wanawake. Hii
ndio sababu Mungu
aliwaumba Adam na Eva
Kuhusu
aina ya mwanaume
anaye mpenda , Hope anasema :
“ Napenda
niwe na mwanaume
ambaye hanipangii aina
ya mavazi ya
kuvaa. Pesa na
muonekano, havina umuhimu
wowote kwangi, ili mradi tu ninaishi maisha
huru ya bila kuwa
na stress. “
Kuhusu aina
ya kifo ambacho
atapenda afe, Hope anasema, “ hakuna mtu
asie ogopa kufa, lakini si njambo baya
kuomba kifo chema, na mimi katika
hilo, ninamuomba Mungu, siku
yangu ikifika nife
nikiwa usingizini.
Kuhusu asicho kipenda, Hope anasema
hapendi uchafu,. Anachukizwa sana
na uchafu. Usafi ndio
kila kitu kwangu, hata
nilipo kuwa Fawe Girls, nilipewa cheti cha
kuwa mwanafunzi msafi.
Mbali na
mitindo, Hope
anajishughulisha na kazi
mbalimbali za kijamii, huku
akipenda zaidi kuwasaidia
watu w asio jiweza na
wanaoishi katika mazingira
magumu.
“ Huwa ninafarijika
sana moyoni, ninapo ona
mtu Fulani amelala usingizi
mzuri na wa
amani, kwa sababu ya
msaada nilio mpa.
MAKALA HAYA YAMELETWA
KWETU NA NEEMA
HERBALIST BLOG, KWA UDHAMINI
MKUBWA WA NEEMA
HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS
CLINIC, WAUZAJI WA DAWA MBALIMBALI ZA
ASILI KAMA VILE :
1. Dawa
asilia ya kuunganisha mifupa, pingili na kukomaza mifupa.
2. Dawa
asilia ya kuondoa maumivu ya misuli, kurekebisha
mishipa na misuli
3. Dawa
asilia kwa wagonjwa wa kiharusi (Kupooza)
4. Dawa
asilia ya kutibu majeraha
5. Dawa
asilia ya kutibu vidonda ndugu
6. Dawa
asilia ya kuondoa uchovu na kuwashwa
7. Dawa
asilia ya kuondoa mafuta kwenye damu ( kolestrol /lehemu)
8. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la nyongo
9. Dawa
asilia ya kutibu gauti
10. Dawa
asilia ya uzazi wa mpango
11. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la Goita
12. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la change la watoto
wachanga.
13. Dawa
asilia ya kutibu vidonda vya tumbo
14. Dawa
asilia ya kutibu mzio ( Allergy)
15. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la degedege kwa
watoto wenye umri wa kati ya miezi
6 hadi tisa.
16. Dawa
asilia ya kurutubisha mayai ya uzazi
na kuzibua mirija ya uzazi kwa wanawake.
17. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la utasa kwa
wanaume.
18. Dawa
asilia ya kusaidia kugeuza mtoto aliye
kaa vibaya tumboni ( Mfano: Katanguliza mikono, makalio n.k )
19. Dawa
asilia ya kupunguza kitambi, uzito na unene
uliozidi.
20. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la vinyama
vya puani.
21. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la bawaziri.
22. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la uchungu wa
pili baada ya kujifungua.
23. Dawa
asilia ya kutibu majeraha ya moto pamoja na
makovu yatokanayo na moyo.
24. Dawa
asilia ya kutiu tatizo la kwikwi
25. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kutokwa na
harufu mbaya kinywani
26. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kutoa harufu
mbaya mwilini
27. Dawa
asilia ya kusaidia kunenepesha mtu aliye
dhoofu mwili
28. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la uvimbe wa
tumboni ( FIBROID )
29. Dawa
asilia ya kisukari
30. Dawa
asilia kwa watu wenye tatizo la moyo,
presha ya kupanda, presha ya kushuka, moyo
kupanuka na matundu kwenye moyo.
31. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la U.T.I, kaswende,
kisonono sugu na Taifodi.
32. Dawa
asilia ya kutibu magonjwa mbalimbali ya ngozi
33. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kubanwa mkojo na
maumivu kwenye njia ya mkojo
34. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kujikojolea
35. Dawa
asilia ya kusafisha figo na kibofu
cha mkojo
36. Dawa
asilia ya kuondoa sumu mwilini
37. Dawa
asilia ya kuondoa maumivu ya hedhi
38. Dawa
asilia za kuondoa sumu ya nyoka, na nge.
39. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la pumu
40. Dawa
asilia ya kuyeyusha uvimbe kwenye lango la
uzazi.
41. Dawa
asilia ya kutibu malaria sugu
42. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la upara
43. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la kikohozi sugu na
kimeo.
44. Dawa
asilia ya kutibu tatizo la ngiri
45. Mawe
kwenye figo
46. Kukosa
choo
47. Kukosa
hamu ya kula
48. Chango
la kike
49. Kutanua
nyonga ( Kuzaa bila kupasuliwa )
50. Nguvu
za kiume
51. Hamu
ya tendo la ndoa kwa wanawake.
52. Mtoto
kuchelewa kutembea
DAWA ZOTE HIZI NI ZA ASILIA
KABISA NA HAZINA KEMIKALI ZA VIWANDANI.
Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES
SALAAM, jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING, nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja waliopo Dar Es Salaam,
ambao hawana nafasi ya kufika ofisini
kwetu, watapelekewa dawa mahali popote walipo.
Kwa wateja waliopo mikoani, watatumiwa
dawa kwa njia ya mabasi.
Kwa wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa
dawa kwa njia ya usafiri wa boti.
Kwa wateja waliopo Mombasa, watatumiwa dawa
kupitia basi la TAHMEED.
Kwa wateja waliopo jijini Nairobi,
watatumiwa dawa kupitia basi la DAR EXRESS.
Na kwa wateja waliopo ughaibuni, watatumiwa
dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA:
0766 – 53 83 84.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu,
tutembelee kila siku, kupitia :
Comments
Post a Comment