|
Mafuta ya ubuyu yameonyesha mafanikio makubwa sana katika kuwasaidia watu wenye matatizo mbalimbali ya kiafya. Pichani mteaja akinunua mafuta ya ubuyu. |
Ubuyu
ni zao lenye faida nyingi sana kwa
afya ya mwanadamu. Zifuatazo ni baadhi
ya faida za zao la mti wa mbuyu
:
1.
MAFUTA YA UBUYU :
Ni
mafuta yatokanayo na mbegu za ubuyu .
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za
kitaalamu mafuta ya ubuyu yana faida
zifuatazo :
i.
Yana utajiri wa vitamini : Mafuta ya
ubuyu yana vitamini A,B,C,D hadi F.
ii.
Yanatengeneza seli zote ndani ya mwili.
iii.
Hutengeneza ngozi isiharibike wala kupata
makunyanzi.
iv.
Yanaondoa mafuta sehemu ya ndani ya
mishipa ya damu.
v.Yana
virutubisho mbalimbali muhimu kwa mwili wa
mwanadamu, mfano: Omega 3, Omega 6, na Omega 9
kwa kutaja vichache.
vi.
Yanarutubisha figo na Ini.
vii.
Yanaleta hamu ya kula.
viii.
Yanatibu mifupa na kuimarisha kucha na
nywele.
viii.
Yanaongeza kinga ya mwili ( CD. 4 )
ix.
Yanaondoa sumu mwilini.
x.
Yanatengeneza sukari iwe katika kiwango
kinacho takiwa.
xi..
Yanasaidia kuona vizuri na kumbukumbu.
xii.
Yanaondoa madoa na chunusi, fangasi, upele, mmba
na mwasho wa ngozi.
xiii:
Yanafaa kwa walemavu wa ngozi (
albino )
xiii:
Huondoa hamu ya kutumia dawa za kulevya.
xiv.
Hutibu vidonda vya tumbo sugu kwa
muda mfupi.
xv:
Huwasaidia wagonjwa wa kansa.
xv.
Yanawafaa wagonjwa wa kisukari na pumu.
2.
MAJANI YA UBUYU : Majani ya mbuyu
huweza kutumika kama mboga. Faida za kutumia
majani ya mbuyu ni kama ifuatavyo :
i.
Hutibu vidonda vya tumbo.
ii.
Huboreesha mbegu za kiume na kike.
iii.
Hutibu Taifodi sugu.
iv
. Huongeza nguvu mwilini kwa haraka.
3.
UNGA WA UBUYU :
*
Hutumika kutengeneza juisi. ( Juisi ya
ubuyu ina vitamnini C nyingi kuliko tunda
lingine lolote duniani.
*Husaidia
kuongeza kumbukumbu.
4.
SABUNI YA UBUYU :
*
Huondoa mabaka, mmba, chunusi , madoadoa na mwasho wa
ngozi
*
Hulainisha ngozi na kuifanya yenye mvuto
daima.
*
Hutibu fangasi na huwasaidia walio
haribiwa ngozi na vipodozi.
*
Huwasaidia wenye ulemavu wa ngozi.
UPATIKANAJI WA MAFUTA YA UBUYU :
Mafuta
ya ubuyu pamoja na bidhaa nyinginezo
zitokanazo na ubuyu, vinapatikana katika
supermarkets mbalimbali nchini.
|
saf sana
ReplyDelete