Asali za aina mbalimbali. Kutokana na kuwepo kwa wimbi la uchakachuaji wa asali, ni vigumu sana kutambua asali halisi na asali iliyo chakachuliwa. |
Matumizi ya asali ni mazuri kwa afya yako lakini ikiwa tu utatumia ASALI HALISI na sio asali CHAKACHULIWA.
Kutambua asali halisi, fuata maelekezo yafuatayo:-
1.
Chukua
glass unayoweza
ona ndani kwa
urahisi.
2. Jaza maji kiasi cha nusu glasi
3. Dondoshea asali
taratibu kwenye glasi
ya maji kama
inavyo onekana kwenye
picha hapa chini.
5. Kama
asali uliyo nayo
si halisi pindi
itakapo gusa maji
tu itajichanganya na
maji hayo.
Comments
Post a Comment