Skip to main content

HABARI NJEMA SANA KWA WATU WANAO TAKA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE KWA NJIA YA VYAKULA-LISHE.


PUNGUZA  UNENE  &  UZITO  KWA   KUTUMIA  NUTRITIONAL  SOUP.



 
 
 
 
 
 
 
 
Baadhi  ya  supu  zinazopatikana  kwenye  mgahawa  wetu.  Katika  mgahawa  wetu  tunatoa  huduma  ya  vyakula   mbalimbali  maalumu  kwa  wagonjwa  mbalimbali  kama  vile  presha  na  kisukari, vidonda  vya  tumbo n.k  pamoja  na  watu  wanao  kabiliwa   na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya  kama  vile   vitambi, unene  na  uzito  ulio  zidi.
 
 
Unakabiliwa  na  tatizo  la    UNENE / UZITO  ulio  zidi ?  Unataka  kupunguza  UNENE/UZITO  kwa  kutumia   diet  ?  Kama  jibu  ni  ndio    basi  hii  ni  HABARI  NJEMA  SANA  KWAKO!  Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  sasa  tumeanza   kutengeneza  SUPU  MAALUMU  YA  KUONDOA  MAFUTA  MWILINI

 ( Slimming  Soup  )   ambayo  inaondoa  kilo  saba  ( 7kgs )  kwa  wiki  moja .

                       UTARATIBU  WA  KUPATA  HUDUMA  HII.

Utaratibu  wa  kupata  huduma  hii  upo  kama  ifuatavyo  :

i.             Unaweza  kufika   kwenye  mgahawa  wetu  uliopo  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU kwa  ajili  ya  kuwa  unajipatia  soup  yako.

ii.           Unaweza  kuweka  order   na  kuletewa  mahali  ulipo.

iii.        Tunao  vijana  ambao wamepewa  mafunzo  maalumu  ya   uandaaji  na  utayarishaji  wa  soup  hii  ya  kupunguza  mwili.  Tunaweza  kumleta  kijana  wetu  nyumbani  kwako  au  ofisini  kwako, ambapo  kazi  yake   itakuwa  ni  kukuhudumia  wewe  kwa  njia  ya  kukuandalia  na  kukutayarishia  supu  yako  mpaka  hapo  utakapo  kuwa  umepata  matokeo  unayo   yahitaji.

GHARAMA  ZETU  NI  NAFUU  SANA. WASILIANA  NASI  KWA  SIMU 0766538384.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...