Tezi ni kokwa ambayo ipo chini ya kibofu cha mkojo
ambapo mrija wa kupitisha mkojo hupita ndani yake . Kwa
mujibu wa tafiti
mbalimbali za kiafya, barani Afrika, wanaume watatu
kati ya kumi
wenye umri wa
kati ya miaka
55 na 75
wanasumbuliwa na tatizo la
tezi. Hapa kwetu Tanzania, mara nyingi
suala la ugonjwa huu
huwa linahusishwa na
imani potofu kuwa
wahusika walikuwa wanaji
husisha na tabia
za kingono zisizo
faa. Hata hivyo si
kwa wazee tu, bali
hata vijana wadogo
nao wanasumbuliwa na
tatizo hili siku
hizi
DALILI ZA MGONJWA
WA TEZI.
Watu wanao
kabiliwa na tatizo la tezi,
huonyesha dalili zifuatazo
i.
Kujisikia
kubanwa na mkojo
wa mara kwa
mara hususani wakati
wa usiku.
ii.
Kutoa damu kwenye mkojo
iii.
Kupatwa na maumivu makali wakati
wa kukojoa, maumivu huwa makali
zaidi baada ya
kukojoa na wakati
wa kumalizia kukojoa.
iv.
Kukojoa kwa
tabu sana au
kushindwa kukojoa kabisa.
v.
Mkojo kutoka
bila ridhaa ya
muhusika
vi.
Tatizo la tezi
linaweza kumsababishia muhusika
matatizo ya uzazi
vii.
Kuishiwa
na nguvu za kiume
viii. Kupatwa na maumivu wakati wa
kutoa mbegu za
kiume.
ix.
Kupatwa na maumivu sehemu ya
chini ya mgong
x.
Kupatwa na maumivu sehemu ya chini ya tumbo
xi.
Kupatwa
na maumivu kwenye mapaja
xii.
Kupatwa na maumivu kwenye nyonga au hips.
Kama
unaonyesha dalili hizi, fahamu
ya kwamba, unakabiliwa na
tatizo la tezi. Unapaswa kuwaona
wataalamu wa afya
mara moja ili
uweze kupata matibabu
ya tatizo lako
ili kujiepusha na
madhara makubwa yanayo weza
kukupata kutokana na
kuwa na tatizo
la tezi. Kwa
dawa ya asili ya
tatizo la tezi, tafadhali wasiliana
na Neema Herbalist kwa Simu
: 0766538384.
Comments
Post a Comment