Mbuzi wa maziwa. Maziwa ya mbuzi yana faida nyingi sana katika afya ya mwanadamu kwa ujumla. Maji kati ya kazi za maziwa ya mbuzi ni pamoja na kutumika kama lishe maalumu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume. Wanyama na ndege au bidhaa ama vitu vitukanavyo nao huweza kutumika katika tiba dhidi ya magonjwa na matatizo mbalimbali ya kifaa. Mbuzi Dume aliye komaa. Nyama, korodani na dhakari zinazo faa kutumika kama lishe maalumnu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu za kiume vinatakiwa kutokana na ...