Skip to main content

LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.










Ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani. Kufahamu   kwa  kina  kuhusu  sayansi  ya  nguvu  za  kiume, tafadhali  temb elea :

Hata  hivyo, kwa  kutumia  dawa  asilia ya  JIKO pamoja   na  LISHE  MAALUMU  KWA  WANAUME  WANAO  SUMBULIWA  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU &  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME, unaweza  kupona  kabisa  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  na  kurejesha  upya  furaha  katika  maisha  yako  ya  ndoa.

LISHE  YA  MAALUMU  YA  NGUVU  ZA  KIUME  NI  NINI  ?
Lishe  maalumu  ya  nguvu  za  kiume  mi  mchanganyiko  wa  dawa  asilia  iitwayo JIKO  pamoja  vyakula-dawa  vingine  zaidi  ya  thelathini  ambavyo  vyote  kwa  pamoja  uhusika  na  kutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.
Lishe  hii  maalumu   huwasaidia  hata  wale  ambao  tatizo  lao  linatokana  na   maradhi  ya  kisukari.
Mtu  pekee ambae lishe  hii  haiwezi  kumsaidia  ni  Yule  ambaye  tatizo  lake  linatokana  na   magonjwa   ama  hitilafu  katika  tezi  za  kiume  pamoja  na  mtu  mwenye  matatizo  katika  figo.

MUDA  WA  DOZI.
Lishe  hii  maalumu  hutumika  kwa  muda  wa  siku  thelathini.

LISHE  MAALUMU  KWA  WANAUME  WENYE  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Ifuatayo  ni  lishe  inayo  tumika  maalumu  kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

1. SIKU  YA  KWANZA

MAHITAJI :
i.            Ungaunga  wa  mizizi  ya  JIKO  kiasi  cha  vijiko  vidogo  viwili  (tea  spoon  )
ii.          Maji  ya  moto  kiasi  cha  milimita  250.
Matayarisho  :  Chukua  vijiko  viwili  vidogo  vyenye  dawa  yako, kisha  changanya  kwenye  kikombe  cha  maji  ya  moto  chenye  ujazo  wa  milimita  250  ( 250 mills ), halafu  koroga  kisha  tumia  kunywa. Utafanya  hivyo  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni  kwa  muda  wa  siku  thelathini  mfululizo.
(  N. B: Katika  siku  zote thelathini, utatakiwa  kutumia  dawa  ya  JIKO. Hivyo  basi, kuanzia  siku  ya  pili hadi  siku  ya  thelathini, utakuwa  unatumia  dawa  ya  JIKO  pamoja  na  dawa  utakayo  takiwa katika  siku  husika. Unashauriwa  kukaa  kwa  dakika  tano  baada  ya  kutumia  dawa  ya  JIKO  ndipo  utumie  na  dawa  nyingine.
2.   SIKU   YA   PILI :
Mahitaji :
i.           Mdalasini  ya  unga  kiasi  cha  gram  100.
ii.         Maji  lita  moja.

Matayarisho :  Chukua  mdalasini  ya  unga  kiasi  cha  gramu  100  kisha  changanya  na  maji  lita  moja  halafu  chemsha  hadi  itokote  kisha  ipua  , chuja  na  uhifadhi   dawa  yako  kwenye  chupa  ya  chai  au  chombo  chochote  utakacho  ona  kinafaa.
Matumizi  :  Gawanya  dawa  yako  katika  nusu  mbili  zinazo  lingana  kisha  tumia  kunywa  nusu  moja  asubuhi  na  nusu  nyingine  jioni.
3. SIKU   YA  TATU :
Mahitaji  :
i.            Maua  ya  rozera  yaliyo kaushwa  kiasi   cha  gram  250.
ii.          Maji   lita  mbili.
Matayarisho :  Chukua  maua  ya  rozera  yaliyo  kaushwa  kisha  yaloweke  kwenye  maji  lita  mbili. Utayaacha  ndani  ya  maji  kwa  muda  wa  dakika  kumi  na  tano  kisha  utayachemsha  hadi  yatoe  rangi  nyekundu  na  kutokota. Baada  ya  hapo  utaipua  na  kuchuja, makapi  utaweka  pembeni, na kuhifadhi  juisi  yako  kwenye  chupa  ya  chai  ama  chombo  chochote  utakacho  ona  kinafaa.

Matumizi  :  Gawanya  dawa  yako  katika  nusu  mbili  zinazo  lingana  kisha  tumia  kunywa  mara  mbili, yaani  asubuhi  kunywa  nusu  moja  na  jioni  kunywa  nusu  nyingine.

4. SIKU    YA  NNE  :
Mahitaji :
i.            Vitunguu maji  vinne  vikubwa
ii.          Chumvi  maskati  kibonge kimoja.
iii.        Samaki  aliye  kaangwa  au  aliye banikwa.

Matayarisho : Chukua  vitunguu  maji  viwili  vikubwa  vilivyo  komaa  sawa, sawa kisha  viponde  ponde  kidogo  halafu  vibanike  katika  wavu  wa    kubanikia  nyama  hadi  viive  vizuri.
Baada  ya  hapo  utachukua  vitunguu  viwili  utakula  pamoja  na  samaki  aliye  kaangwa  au  aliye  banikwa  huku  ukitoweza  kwenye  chumvi  maskati. Utafanya   hivyo  asubuhi  na  jioni. Yaani  jioni  utakula  vitunguu  maji  viwili na  samaki  mmoja  huku  ukitoweza  kwenye  chumvi  maskati na  jioni  utakula  vitunguu  maji  viwili  pamoja  na  samaki  mmoja  aliye  kaangwa  huku  ukitoweza  kwenye  chumvi  maskati.
Kama  utashindwa  kuvibanika  vitunguu, basi  utavichemsha   kwenye  maji  hadi  viive  vizuri  kisha  utatumia  kula  pamoja  na  samaki  huku  ukitoweza  kwenye  chumvi  maskati.

5. SIKU  YA  TANO
Mahitaji
i.            Unga  wa  karafuu  maua   vijiko  viwili  vikubwa.
ii.          Maziwa   fresh  ya  n’gombe  ya  moto  sana  yenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  hamsini
Matayarisho :  Chukua  kijiko  kimoja  cha  unga  unga  wa  karafuu  maua  kisha  changanya  kwenye  glasi  moja  ya  maziwa  fresh  ya  moto  yenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  hamsini  halafu  vuruga  vizuri  hadi  kabisa  hadi  ichanganyikane  kabisa.
MATUMIZI :  Tumia  kunywa  mara  mbili, asubuhi  na  jioni. Yaani asubuhi  utatumia  kijiko  kikubwa  cha  karafuu  maua  kwenye  glasi  moja  ya  maji  ya  moto  na  jioni  utafanya  kama  ulivyo fanya  asubuhi, na  ama  kwa  hakika  utakuwa  umeongeza  kitu  muhimu  sana  katika  afya  yako  hususani katika  suala  la  nguvu  za  kiume.

6.   SIKU  YA  SITA
Mahitaji:
i.      Karafuu  maua kijiko  kimoja  kikubwa
  1. Unga  wa  udil  karaha kijiko  kimoja  kikubwa
  2. Maziwa  fresh  ya  moto  milimita  250
Matayarisho : Chukua   kijiko  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  udil  karaha  halafu  changanya  na  kijiko  kimoja  kikubwa  cha   unga  wa  karafuu  maua  halafu  changanya  na  glasi  moja  ya  maziwa  fresh  ya  moto  sana yenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  hamsini  ( 250  mills )
Matumizi  :  Tumia  kunywa  kikombe  kimoja  asubuhi  na  kikombe  kimoja  jioni. Yaani  asubuhi  utachanganya  kikombe  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  udil  karaha  na  kikombe  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  karafuu  maua kwenye  glasi  ya  maziwa  fresh  ya  moto utakoroga  na  kisha kunywa, halafu  jioni  utafanya  kama  ulivyo  fanya  asubuhi.

7. SIKU  YA  SABA
Mahitaji  :
i.      Unga  wa  habbat  sodah  vijiko  viwili  vikubwa
  1. Unga  wa  khulinjani  vijiko  viwili  vikubwa
  2. Glasi  ya  maziwa  fresh  ya  moto  yenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  hamsini.
Matayarisho  :  Chukua  vijiko  viwili  vikubwa  vya  habbat  sodah ya unga, changanya  na  vijiko  viwili  vikubwa  vya  khulinjani  ya  unga  kisha  tia  kwenye  glasi  ya  maziwa  fresh  ya  moto  halafu  koroga  hadi  ichanganyike  kabisa .
Matumizi  :  Tumia  kunywa  kikombe  kimoja  cha  dawa  asubuhi  na  kikombe  kingine  utakunywa  jioni. Yaani  ikifika  jioni  utayarisha  dawa  yako  kama  ulivyo  tayarisha  asubuhi  na  kisha  kunywa.

8. SIKU   YA  NANE  :

Mahitaji
i.      Unga unga  wa  mbegu  za  figili   vijiko  vikubwa  viwili
  1. Glasi  mbili  za  maji  ya  moyo  zenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  hamsini.
Matayarisho  &  Matumizi  :  Asubuhi  chukua  kijiko  kimoja  kikubwa   cha  ungaunga  wa  mbegu  za  figili  kisha  changanya  kwenye  glasi  ya  moto   halafu  koroga  kisha  kunywa  na  ikifika  jioni  fanya  kama  ulivyo  fanya  asubuhi.

9. SIKU  YA  TISA 

Mahitaji
i.      Fil-fil ab-yadh  ya  unga  (  fil – fil  nyeupe )  kijiko  kimoja  kikubwa
  1. Qar –nafil  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
  2. unga  unga  wa  mbegu  za  figil  vijiko  viwili  vikubwa.

Matayarisho :  Changanya  dawa  zote  hizo  tatu  kwenye maji  lita  moja  halafu  chemsha  hadi  itokote  kisha ipua  , chuja  na  uhifadhi  dawa  yako  kwenye  chupa  ya  chai.

MATUMIZI  :  Gawanya  dawa  yako  katika  mafungu  mawili  yanayo  lingana  kisha  tumia  kunywa  nusu  moja  asubuhi  na  nusu  nyingine  jioni.

10. SIKU  YA  KUMI
Mahitaji
i.      Majani  ya  nana  robo  kilo
  1. Maji  lita  mbili.
Matayarisho :  Chukua  majani  ya  nana  robo  kilo  kisha  changanya  na  maji  lita  mbili  halafu  chemsha  hadi  itokote. Ikisha  tokota  ipua  chuja, makapi  weka  pembeni  halafu  juisi  yako  hifadhi  kwenye  chupa  ya  chai  au  chombo  chochote  utakacho  ona  kinafaa.
Matumizi  :  Gawanya  dawa  yako  katika  nusu  mbili  zinazo  lingana  halafu  tumia  kunywa mara  mbili, yaani  nusu  moja  kunywa  asubuhi  na  nusu  nyingine  uinywe  usiku.

11. SIKU  YA  KUMI  NA  MOJA :
Mahitaji
i.      Unga  wa  kitunguu  thaumu  vijiko  vinane  vikubwa.
  1. Maji  lita  moja.
Matayarisho :  Chukua  vijiko  vinane  vikubwa  vya  unga  wa  kitunguu  thaumu  kisha  changanya  kwenye  lita  moja  ya  maji  halafu  chemsha  hadi  itokote. Ikisha  tokota, ipua , chuja, na  uhifadhi  juisi  yako  kwenye  chupa  ya  chai.

MATUMIZI  :  Gawanya  dawa  yako  katika  nusu  mbili  zinazo  lingana  halafu  tumia  kunywa  nusu  ya  kwanza  asubuhi  na  nusu  ya  pili  utainywa  wakati  wa usiku.

12. SIKU  YA  KUMI  NA  MBILI
Mahitaji
i.      Habat  Sodah  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
  1. Ubani  Dhukra  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa.
  2. Glasi  moja  ya  maji  ya  moto  yenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  hamsini.
Matayarisho :Chukua  kijiko  kimoja  kikubwa  cha  Habbat  Sodah  ya  unga  halafu  changanya  na  kijiko  kimoja  kikubwa  cha  unga  wa  Ubani  Dhukra.

Matumizi  :  Chukua    vijiko  viwili  vidogo  vya  dawa  yako, kisha  changanya  kwenye  kikombe  chenye  maji  ya  moto  halafu  koroga  kisha  tumia  kunywa. Utafanya hivyo  na  asubuhi  na  itakapo fika  jioni, utafanya  kama  ulivyo  asubuhi.

13. SIKU  YA  KUMI  NA  TATU
Mahitaji
i.      Mdalasini  ya  unga  vijiko  viwili  vikubwa
  1. Khulinjani  ya  unga  vijiko  viwili  vikubwa.
  2. Maji  ya  moto  glasi  moja  yenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  hamsini.
Matayarisho  :  Chukua  viwili  vikubwa  vya  mdalasini  ya  unga  kisha  changanya  na  vijiko  viwili  vikubwa  vywa  khulinjani  ya  unga, halkafu  chukua  vijiko  viwili    vidogo  vya  dawa   iliyo  changanywa  kwenye   kikombe  cha  maji  ya  moto

Matumizi  :  Tumia  kunywa  glasi  moja  asubuhi  na  ikifika  usiku  utakunywa  glasi  moja  nyingine.

14. SIKU  YA  KUMI  NA  NNE
Mahitaji:
i.      Kitunguu  thaumu  gram  100
  1. Karafuu  maua  vijiko  viwili  vikubwa.
  2. Maziwa  fresh  ya  n’gombe  nusu  lita.

Matayarisho  :Chukua   vitunguu  thaumu  kiasi  cha  robo  kilo  kisha  vimenye  kupata  punje  zake  halafu  vipondeponde  hadi  vilainike  kisha  mimina  maziwa  fresh  ya  n’gombe  kiasi  cha  nusu  lita   kisa  tia  katika  moto. Pika  pamoja  hadi  hivyo  vitunguu  thaumu  viive  vizuri  kabisa  na  kuchanganyika  na  maziwa  fresh kiasi  cha  kutojua  hiki ni  kitunguu  na  haya  ni  maziwa.
Baada  ya  hapo, toa  katika  moto  halafu  acha ipoe.   Baada  ya  hapo  chukua  vijiko  viwili  vikubwa  vya  unga  wa  kaafuu  maua, kisha  tia  kwenye  dawa  yako  halafu  koroga  kwa muda  wa  dakika  moja, kisha  hifadhi  dawa  yako  kwenye  chombo  kisafi..

MATUMIZI : Gawanya  dawa  yako  katika  nusu  mbili  zinazo  lingana  halafu  tumia  mara  mbili, yani  nusu  moja  tumia  asubuhi  na  nusu  nyingine  utatumia  usiku.
15. SIKU  YA  KUMI  NA  TANO
MAHITAJI :
i.            Mbegu  za  uwatu  vijiko  vikubwa  vinane
ii.          Maji  nusu  lita

MATAYARISHO
Chukua   vijiko  vinane  vikubwa  vya  mbegu za  uwatu  kisha  loweka  kwenye  maji  nusu  lita  kwa  usiku  kucha  halafu  ikifika  asubuhi, ziponde ponde  hizo  mbegu  zikiwa ndani  ya  maji  kisha  chuja  kupata  juisi yake.
MATUMIZI : Tumia  kunywa  robo  lita  asubuhi  na  robo  lita  utakunywa  wakati  wa  usiku.
( N.B: ZOEZI  LA  KULOWEKA  MBEGU  ZA  UWATU  KWENYE  MAJI, UNASHAURIWA  KULIFANYA  USIKU  WA  SIKU  YA  KUMI  NA  NNE )

16. SIKU  YA  KUMI  NA  SITA
MAHITAJI
i.            Unga  wa  manjano  vijiko vinane  vikubwa
ii.          Maji  lita  moja
MATAYARISHO :  Chukua   vinane  vikubwa  vya  manjano  ya  unga, loweka  kwenye  lita  moja  ya  maji  kwa  muda  wa  dakika  kumi  na  tano  kisha   chemsha  hadi  itokote  halafu  ipua,  chuja  na  uhifadhi  dawa  yako  kwenye  chupa  ya  chai.,
MATUMIZI  :  Gawanya  dawa  yako  katika  mafungu  mawili  yaliyo  sawa  kisha  tumia  kunywa  mara  mbili. Asubuhi kunywa  nusu  ya  ya  kwanza  halafu  nusu  ya  pili  utainywa  wakati  wa  usiku.

17. SIKU  YA  KUMI  NA  SABA :
MAHITAJI

i.            Uwatu  ya  unga  vijiko  vinane  vikubwa
ii.          Maji  lita  moja.
MATAYARISHO  : Chukua  vijiko  vinane  vikubwa  vya  uwatu  ya  unga  kisha  loweka  kwenye  maji  lita  moja  kwa  muda  wa  dakika  kumi  na  tano  halafu  chemsha  hadi  itokote  kisha  ipua  chuja  na  uache  ipoe.  Ikisha  poa, hifadhi  kwenye  chupa  ya  chai  au  chombo  chochote  utakacho  ona  kinafaa.
MATUMIZI :  Gawanya  dawa  yako  katika  nusu  mbili  zinazo  lingana  kisha  tumia  kunywa   nusu  moja  asubuhi  na  nusu  ya  pili  uinywe  wakati  wa  usiku.

SIKU   YA  KUMI  NA  NANE   HADI   YA  THELATHINI.
Siku  ya  kumi  na  nane   hadi  ya  thelathini, utatumia  mchanganyiko  maalumu  wa   dawa  thelathini  kama  ifuatavyo :
MAHITAJI :
1.      Daaru  fil-fil  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
2.      Fil-fil-ab –yadh  au  fil  fil  nyeupe  kijiko  kimoja  kikubwa
3.      Fil-fil  aswad  au  fil-fil  nyeusi  kijiko  kimoja  kikubwa
4.      Aqir  -Karaha  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
5.      Khulinjani  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
6.      Hal-tiyti  kijiko  kimoja  kikubwa
7.      Qusti  iliyo  sagwa  kijiko  kimoja  kiukubwa
8.      ‘Hab at  Sufa  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
9.      Tangawizi  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
10.  Zaafarani  ya  unga  au  zaafarani  ya  nyuzi  iliyo  sagwa  kijiko  kimoja  kikubwa
11.  Basbasi  jauz  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
12.  Kakila  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
13.  Ub ani Kandar  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
14.  Karafuu  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
15.  Mdalasini  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
16.  Ubani mushtaqa  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
17.  Haluli  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
18.  Habbat  Sodah  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
19.  Sufa  nyeupe ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
20.  Unga  wa  kitunguu  thaumu  kijiko  kimoja  kikubwa
21.  Uwatu  ya  unga  kijiko  kimoja  kikubwa
22.  Unga  wa  majani  ya  nana  kijiko  kimoja  kikubwa
23.  Chumvi  maskati  iliyo  sagwa  kijiko  kimoja  kikubwa
24.  Himswi  kijiko  kimoja  kikubwa

MATAYARISHO :  Changanya  dawa  zako  zote  hadi  zichangamanike  kabisa.  Chukua  vijiko  vikubwa  viwili  vyenye  dawa  yako, kisha  changanya  kwenye  nusu  lita  ya  maji  ya  moto  halafu  koroga   hadi maji  yachangamane  na  dawa, kisha  hifadhi  dawa  yako  kwenye  chupa  ya  chai  au  chombo  chochote  kisafi.

MATUMIZI  :  Tumia  kunywa  robo  lita  asubuhi  na  robo  lita  nyingine  utainywa  wakati  wa  usiku. Utafanya  hivyo  kila  siku  kwa  muda  wa  siku  kumi  na  tano.



GHARAMA YA  DAWA  PAMOJA  NA  LISHE  HII  MAALUMU :  Gharama  ya  dawa  ya  JIKO  pamoja  na  lishe  hii  maalumu  ni  SHILINGI  LAKI  MOJA  NA  ELFU  ISHIRINI  TU (Tshs.120,000/=)
Kwa  pesa  hiyo  utapata   package  yote  kasoro  vitunguu  thaumu  na  maziwa  pekee.  Hii  maana  yake  ni  kwamba    utapata  dawa  ya  JIKO  pamoja  na  dawa nyingine  zote  zilizo  orodheshwa  hapo  juu.
Dawa  zote  zitakuja  zikiwa  zimeisha changanywa  tayari  na  kazi  yako  itakuwa  ni  kutumia  tu.

MAHALI   TUNAPOPATIKANA  :
Tunapatikana  jijini  DAR  ES  SALAAM,  eneo  la   MTAA  WA  UNGONGO  PLAZA  karibu  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.
Kufika  ofisini  kwetu, njoo  hadi  UBUNGO  PLAZA  kisha  ulizia  mahali  ilipo  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING. Ukifika   Shule  ya  Msingi  National  Housing, upande  wa  nyuma,tembea  hatua   ishirini mbele  kisha  tazama  upande  wako  wa  kulia, utaona  ofisi  yetu  imeandikwa  NEEMA  HERBALIST.
Kwa  wateja  wasio  na  muda  wa  kuja  ofisini  kwetu, watapelekewa  dawa  mahali  walipo. Kwa  wateja  wa  mikoani, watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, kwa  wateja  wa  Zanzibar  watatumiwa  dawa  kwa  njia   boti  na  kwa  wateja  wa  ughaibuni  watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  POSTA  au  DHL.

WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84.

Kwa  taarifa  zaidi, kuhusu  huduma  zetu, endelea  kututembelea  kila  siku  katika  blogu  yetu :

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA 

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka