Ugonjwa wa
kisukari ni miongoni
mwa vyanzo vikuu
vya tatizo la
ukosefu na upungufu
wa nguvu za
kiume.
Asilimia kubwa
ya wagonjwa wa
kisukari wanakabiliwa na
tatizo la ukosefu
wa nguvu za
kiume.
Unajua ni
kwa nini wanaume
wenye kisukari wanasumbuliwa
pia na tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume
?
JIBU NI
RAHISI SANA, NALO NI KWA SABABU
KUNA UHUSIANO MKUBWA
SANA KATI YA
UGONJWA WA KISUKARI
NA TATIZO LA
UKOSEFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Kabla hatuja
fahamu kuhusu uhusiano
uliopo kati ya
ugonjwa wa Kisukari
na tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume
ni vyema tukafahamu kwanza
kuhusu SAYANSI YA
NGUVU ZA KIUME.
Sayansi ya
nguvu za kiume, itatuwezesha kufahamu
kuhusu mechanism ya
nguvu za kiume. Itatusaidia kujibu
maswali muhimu kuhusu
nguvu za kiume
kama vile: KITU GANI
KINAFANYA UUME USIMAME ?
KITU GANI KINAFANYA
UUME USISIMAME ? KITU
GANI KINAFANYA UUME
USIMAME KWA MUDA
MREFU ? KITU
GANI KINAFANYA UUME
USISIMAME KWA MUDA
MREFU ? KITU GANI KINAFANYA
UUME USIMAME UKIWA
IMARA KAMA MSUMARI
? KITU GANI KINAFANYA UUME
USIMAME UKIWA LEGELEGE
? nakadhalika.
Kufahamu kuhusu
SAYANSI YA NGUVU
ZA KIUME, tafadhali tembelea
link hii hapa
chini :
Baada ya
kufahamu kuhusu SAYANSI
YA NGUVU ZA
KIUME, sasa tunaweza kufahamu
kuhusu UHUSIANO ULIOPO
KATI YA UGONJWA
WA KISUKARI NA
TATIZO LA UKOSEFU
WA NGUVU ZA
KIUME.
Ukisoma vizuri
kuhusu SAYANSI YA
NGUVU ZA KIUME
utagundua kuwa SUALA
LA NGUVU ZA
KIUME NI SUALA
LA KIMFUMO.
Mambo makuu
muhimu katika MFUMO
WA NGUVU ZA
KIUME ni
·
Ubongo imara
na wenye afya
njema
·
Mishipa imara
ya kusafirishia damu
mwilini
·
Mfumo imara
na wenye afya
wa usafirishaji damu
mwilini.
·
Mishipa na
misuli ya uume
iliyo imara na
yenye afya njema
·
Pamoja na
uhusiano imara na
wenye afya kati ya
mishipa ya fahamu
iliyo katika ubongo
( nerves),mishipa ya kwenye
uti wa mgongo
( spinal cords ) pamoja
na mishipa & misuli
ya kwenye uume.
Ili mwanaume
aweze kuwa na
nguvu imara za
kiume ni lazima
mfumo wa mwili
wake uwe na
mambo yote matano
yaliyo tajwa hapo
juu .
Kukosekana ama
kuwa na hitilafu
katika lolote kati
ya mojawapo kayi
mambo yaliyo tajwa
hapo juu kutamfanya
mwanaume huyo apungukiwe
na nguvu za
kiume.
Hitilafu ama
kukosekana kwa zaidi
ya jambo moja
kati ya mambo
yaliyo tajwa hapo
juu, kutamfanya mhusika awe
katika risk ya
kupungukiwa nguvu za
kiume maradufu.
JINSI UGONJWA
WA KISUKARI UNAVYO
SABABISHA UKOSEFU NA
UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Ugonjwa wa
kisukari, pamoja na mambo
mengine mengi, unafanya mambo
yafuatayo katika mwili
wa mwanadamu:
·
Unashambulia na
kudhoofisha mishipa ya
ubongo.
·
Unashambulia na
kudhoofisha mishipa inayo
safirisha damu mwilini
( Blood Vessels )
·
Unashambulia na
kudhoofisha mishipa na
misuli mbalimbali iliyopo katika
sehemu mbalimbali za
mwili wa mwanadamu
ikiwemo mishipa na
misuli ya kwenye
uume.
Mishipa ya
ubongo ( nerves ), mishipa ya
damu ( Blood Vessels ), pamoja na
misuli & mishipa ya kwenye
uume, ni vitu muhimu
sana katika MFUMO
WA NGUVU ZA
KIUME.
Kudhoofishwa kwa
vitu hivi muhimu, husababisha ukosefu
na upungufu wa
nguvu za kiume.
Hii ndio
sababu kuu inayo
wafanya wagonjwa wa
kisukari kusumbuliwa na
tatizo la ukosefu
wa nguvu za
kiume.
TIBA YA
UKOSEFU WA NGUVU
ZA KIUME KWA
MGONJWA WA KISUKARI.
Ili mgonjwa
wa kisukari aweze
kupata tiba ya
ukosefu wa nguvu
za kiume, ni lazima
apate pia tiba
itakayo saidia ku- control
sukari kwenye damu
yake.
Hivyo basi ,
tiba ya ukosefu
wa nguvu za
kiume kwa mgonjwa
wa kisukari inatakiwa
kwenda sanjari na
tiba ya ku - control
sukari kwenye damu ya mgonjwa.
Hii ina
maana kuwa, ili
tiba ya nguvu
za kiume kwa
mgonjwa wa kisukari
iweze kufanya kazi
barabara, ni lazima mgonjwa
huyo, pamoja na kutumia
tiba ya nguvu
za kiume , apate pia
tiba ya sukari.
TIBA HII HAIPONYESHI TATIZO
LA KISUKARI, ISIPOKUWA INASAIDIA
KU –CONTROL SUKARI KATIKA DAMU
YA MGONJWA NA
HIVYO KUISAIDIA TIBA
YA NGUVU ZA
KIUME KUFANYA KAZI
VIZURI.
Dawa Ya
Nguvu Za Kiume
Kwa Mgonjwa Wa
Sukari : Dawa asilia
ya JIKO ni dawa
ambayo inasaidia kutibu
na kuponyesha kabisa
tatizo la nguvu
za kiume kwa
watu wote, ikiwemo wagonjwa
wa kisukari. ( WAGONJWA
WA KISUKARI NI LAZIMA
WATUMIE DAWA YA
JIKO , PAMOJA NA DAWA
YA KU-CONTROL SUKARI
MWILINI )
Kufahamu zaidi
kuhusu dawa ya
JIKO na namna
inavyo fanya kazi. Tafadhali tembelea :
TIBA YA
KU-CONTROL SUKARI MWILINI
Zipo dawa
mbalimbali za asili
zinazoweza kutumika , kutibu tatizo
la kisukari. Lakini miongoni
mwa dawa hizo, dawa
asilia zifuatazo zimethibitika
kuwa na uwezo
mkubwa sana wa
ku-control kiwango cha
sukari kwenye damu.
Kufahamu kuhusu
dawa asilia zinazo
saidia ku-control kiwango
cha sukari mwilini, tafadhali tembelea :
JINSI YA
KUPATA TIBA YA
NGUVU ZA KIUME
KWA WAGONJWA WA
KISUKARI.
Kama wewe
una tatizo la ukosefu/upungufu wa
nguvu za kiume
unao tokana na
ugonjwa wa kisukari, unatakiwa kutumia
LISHE MAALUMU
KWA WANAUME WENYE
TATIZO LA NGUVU ZA
KIUME. Lishe hii ni
mkusanyiko wa dawa
ya JIKO pamoja na
virutubisho vingine zaidi
ya ishirini.
LISHE HII
MAALUMU HUTIBU HITILAFU ZOTE
KATIKA MFUMO WA
NGUVU ZA KIUME.
Kufahamu zaidi
kuhusu lishe hii
maalumu, tafadhali tembelea :
BEI
YA DAWA HII
Dawa
hii inapatikana kwa
kiasi cha SHILINGI
LAKI MOJA NA
ELFU ISHIRINI TASLIMU
( Tsh.120,000/=)
MAHALI INAKO
PATIKANA.
Kupata dawa
hizo wasiliana na
duka la NEEMA
HERBALIST & NUTRITIONAL
FOODS CLINIC.
Tunapatikana jijini
DAR ES SALAAM
katika eneo UBUNGO
nyuma ya jengo
la UBUNGO PLAZA
karibu na SHULE
YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING.
WASILIANA NASI
KWA SIMU NAMBA
0766 53
83 84.
Kwa wateja
wasio weza kufika
ofisini kwetu, tunawapelekea dawa
mahali walipo
(
DELIVERY )
Kwa wateja
wa mikoani, tunawatumia dawa
kwa usafiri wa
mabasi. Kwa wateja waliopo
Zanzibar tunawatumia dawa
kwa usafiri wa
boti na kwa
wateja waliopo ughaibuni, tunawatumia dawa
kwa njia ya
DHL au POSTA.
Kwa taarifa
zaidi kuhusu huduma zetu, endelea
kutembelea :
Comments
Post a Comment