Skip to main content

MENU YA LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.





Zaafarani  ya  rangi  ya  njano  ikiuzwa  katika  duka  la  kuuza  viungo. Zaafarani  huweza  kuwa  na  rangi  ya  njano, pinki  au  nyekundu.

Lishe  ya  nguvu  za  kiume  ni  lishe  maalumu  kwa  ajili  ya  watu  wenye  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Lishe   hii  ni  muunganiko  wa  matumizi  ya  dawa  asili  ya  nguvu  za  kiume  iitwayo  Jiko  pamoja  na  virutubisho  ama  dawa  nyingine  ambazo  zote  kwa  pamoja  zinahusika  na  kuuimarisha  mfumo  wa  nguvu  za  kiume.
 
Manjano


Lishe  hii  maalumu  husaidia  kutibu   na  kuponyesha  kabisa  hitilafu  zote zilizopo  katika  mfumo  wa  nguvu  za  kiume.

Kufahamu  zaidi  kuhusu  mfumo  wa  nguvu  za  kiume  na  jinsi  unavyo  fanya  kazi, tafadhali  tembelea : 

 

Na  kufahamu  zaidi  kuhusu  Lishe  maalumu  kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  tafadhali  tembelea :





Makala  ya  leo  inahusu  MENU  ya   lishe  maalumu   kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.  Ukii soma  vizuri  makala  yetu  kuhusu  lishe  maalumu  kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, utagundua   kuwa  menu  ya  lishe  ya  nguvu  za  kiume, ina  jumuisha   dawa  ya  Jiko  pamoja  na  dawa  nyingine  zaidi  ya  ishirini.
Katika  makala  ya  leo  hatutafanya  uchambuzi  kuhusu  dawa  ya  JIKO  kwa  sababu  tumekwisha  fanya  hivyo  katika  makala  zetu  nyingi  zilizo  pita.
Incase  kama  haukupata  kufahamu  kuhusu  dawa  ya  JIKO  tafadhali  tembelea  hapa:





Katika  makala  ya  leo  tutaangazia  dawa  nyinginezo  zinazo  patikana  kwenye  menu  ya  lishe  ya  nguvu  za  kiume. Kutokana  na  ufinyu  wa  nafasi, tutakuwa  tunachambua  walau  dawa  tano  kila  siku.
Katika  makala  ya  leo, tufanya  uchambuzi  kuhusu  dawa  asilia  zifuatazo :  Zaafarani ya  unga, Rozela, uwatu  ya  mbegu, uwatu  ya  unga, manjano   pamoja  na   mdalasini  ya  unga . Dawa  zote  hizi  zinapatikana  katika  menu  ya  Lishe  maalumu  kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

1.    ZAAFARANI   YA   UNGA.

Zaafarani  ya  unga  ni  miongoni  mwa  virutubisho  asilia  vinavyo  patikana  katika  menu  ya  lishe  maalumu  kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume. Dawa  hii  asilia  inavyo  rutubisho  muhimu  sana   vinavyo  hitajika  katika  mfumo  wa  nguvu  za  kiume.
Kwa  muda  mrefu  sana  dawa  hii   iliyo  barikiwa, imekuwa  ikitumika  kutibu  magonjwa  mbalimbali  ikiwemo  kuimarisha  afya  ya  mwili  wa  binadamu  kwa  ujumla.

Zaafarani  ina  utajiri  mkubwa  sana  wa  madini  ya  Potassium  ambayo  ni  muhimu  katika  kuimarisha  afya  ya  mfumo  wa  nguvu  za  kiume.

Matumizi  ya  zaafarani  hufanya  mambo  yafuatayo  katika  mfumo  wa  nguvu  za  kiume.

i.                   Husaidia  kuondoa  lehemu (  kolestrol) mwilini  na  hivyo  kusaidia  damu  kusafiri   vizuri  katika  mishipa  ya  damu  mwilini.
ii.                Husaidia  kusafisha  mishipa  ya  damu  mwilini. Mishipa  ya  damu  ni  muhimu  sana  katika  suala  zima  la  kusimama  kwa  uume.
iii.             Husaidia  kuimarisha   mfumo  wa  utiririkaji  wa  damu  mwilini  pamoja  na mishipa  & misuli  ya  kwenye  uume.
iv.             Husaidia  kutibu   matatizo  ya  presha  . Presha  inahusisha  damu  na  damu  ni  kiungo  muhimu  sana  katika  mfumo  wa  nguvu  za  kiume .
v.                Zaafarani  husaidia  kuimarisha  afya  ya  mishipa  ya  ubongo
vi.             Zaafarani  husaidia  kutibu  magonjwa  ya  moyo

Mbali  na  kusaidia  katika  kuimarisha  mfumo  wa  nguvu  za  kiume.  Zaafarani  hufanya  mambo  yafuatayo  katika  mwili  wako  :
i.                   Husaidia  kutibu  na  kukmarisha  afya  ya  mwili kwa  ujumla
ii.                 


2.    ROZELA
Rozela  ina  faida  nyingi  sana  katika   afya  ya   mfumo  wa  nguvu  za  kiume. Zifuatazo  ni  baadhi  ya  faida  za  Rozela  katika  mfumo  wa  nguvu  za  kiume :
i.                   Husaidia  kuongeza  damu  mwilini
ii.                Husaidia  kuimarisha  mfumo  wa  utiririkaji  wa  damu  mwilini
iii.             Husaidia  kutibu  presha
iv.             Husaidia  kurekebisha  sukari   kwenye  damu
v.                Husaidia  kupunguza  lehemu  ama  kolestrol  kwenye  damu.




3.    UWATU  YA  UNGA :
Uwatu  ya  unga  ni  dawa  yenye  faida  nyingi  sana   katika  afya  ya  mwanadamu. Katika  mfumo  wa  nguvu  za  kiume, uwatu  ya  unga  hufanya  mambo  yafuatayo :

i.                   Husaidia  kurekebisha  kiwango  cha  sukari  kwenye  damu
ii.                Husaidia  kupunguza  lehemu  ama  kolestrol  kwenye  damu.
iii.             Husaidia  kuimarisha  afya  ya  mwili  kwa  ujumla
iv.             Husaidia  kuimarisha  mfumo  wa  utiririkaji  wa  damu  mwilini.

4.    UWATU  YA  MBEGU  :  Kama  ilivyo  kwa  uwatu  ya  unga, uwatu  ya  mbegu una  faida  kubwa  sana  katika  kuimarisha  mfumo  wa  nguvu  za  kiume, hususani  kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  sukari  pamoja  na  kolestrol  nyingi  kwenye  damu. Uwatu  ya  mbegu  husaidia  kurekebisha  kiwango  cha  sukari  mwilini  pamoja  na  kupunguza  kolestrol  kwenye  damu. Vile  vile  uwatu  ya  mbegu  husaidia  kutibu  tatizo  la  presha na  shinikizo  la  damu.

5.    MDALASINI  :  Mdalasini  ni  miongoni  mwa  dawa  zilizo  jaaliwa  kuwa  na  uwezo  mkubwa  wa  kutibu  na  kuponyesha  kabisa  magonjwa  ya  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya. Katika  mfumo  wa  nguvu  za  kiume, mdalasini  unafanya  kazi  muhimu  sana  kwa  sababu  unasaidia  kusafisha  damu  na  kuondoa  kabisa  lehemu  ama  kolestrol  mwilini.  Katika  ulimwengu  wa  kitabibu, mdalasini  hujulikana  kama  SABUNI  YA  KUSAFISHA  DAMU “. Matumizi  ya  mdalasini  ni  muhimu  sana  katika  kuimarisha, kutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  sababu  hufanya  kazi  kubwa  ya  kusafisha  damu kwa  kuondoa  kolestrol  mwilini  na  hivyo  kusafisha  vizuizi  vyote  vinavyo  weza  kuizuia  damu  kusafiri  kutoka  katika  nyinginezo  za  mwili  na  kwenda  kwenye  mishipa  ya  damu  iliyopo  katika  uume.

Mbali  na  kuwa  na  uwezo  mkubwa  wa  kuondoa  kolestrol  mwilini, mdalasini  unasifika  pia  kwa  kuwa  na  uwezo  mkubwa   sana  katika  kurekebisha  kiwango  cha  sukari  katika   damu.
Pia  mdalasini  husaidia  katika  kutibu   tatizo la  presha  na  shinikizo  la  damu.
Vile  vile  husaidia  katika  kuimarisha  afya  ya  akili  ya  mwanadamu.


6.    MANJANO  :  Manjano  ni  dawa  asilia  yenye  uwezo wa  kutibu  pamoja  na  kusaidia  katika  tiba  ya  magonjwa  lukuki. Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitabibu., manjano  ina  uwezo  wa  kutibu  zaidi  ya  magonjwa  hamsini. Mbali  na  kusaidia  kutibu  magonjwa  na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya, manjano  husaidia  pia  katika   masuala  ya  urembo.

Katika  mfumo  wa  nguvu  za  kiume  manjano  husaidia  katika  mambo  yafuatayo :
i.                   Husaidia  kusafisha  mafuta  kwenye  damu  ( lehemu/kolestrol)
ii.                Husaidia  kutibu  tatizo  la  presha  na  shinikizo  la  damu
iii.             Husaidia  kurekebisha  kiwango  cha  sukari  mwilini
iv.             Husaidia  kusafisha  mishipa  ya  damu
v.                Husaidia  kuimarisha  mfumo  wa  utiririkaji  wa  damu  mwilini.
vi.             Husaidia  kuimarisha  afya  ya  mwili  kwa  ujumla

Hivyo  ni  virutubisho  sita, vinavyo  patikana  katika  Lishe Maalaumu  ya  nguvu  za  kiume. Lishe ya  nguvu  za  kiume  ina  jumuisha  dawa  asilia  ya  Jiko  pamoja  na  virutubisho  vingine   asilia  zaidi  ya  ishirini . Katika  makala  yetu  yajayo  tutaelezea  kuhusu  virutubisho  vingine . Endelea  kutembelea  bloguni  hapa  kila  siku.

GHARAMA YA  DAWA  YA  JIKO  PAMOJA  NA  VIRUTUBISHO  VYAKE.
Ukihitaji  dawa  ya  JIKO  pekee  utaipata  kwa  gharama  ya  SHILINGI  ELFU  THEMANINI
( TSHS.80,000/=)  PEKEE.

Ukihitaji  dawa  ya  JIKO  pamoja  na  virutubisho  vyake  vyote  ambavyo  ni  zaidi  ya  ishirini. Gharama  yake  inakuwa  ni  SHILINGI  LAKI  MOJA  NA  ELFU  ISHIRINI  TU.

JINSI  YA  KUPATA  DAWA :   Kupata  dawa  hizi, fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  jijini  Dar  Es  salaam  MTAA  WA  UBUNGO  PLAZA, karibu  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  JENGO  LA  UBUNGO  PLAZA.

Kama  upo  nje  ya  mkoa  wa  Dar  Es  salaam  utatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  basi.
Kama  upo  Zanzibar  utatumiwa  dawa  kwa  njia  ya   boti.
Na  kama  upo  Ughaibuni, dawa  itatumwa  kwako  kwa  njia  ya  POSTA  au  DHL.

KWA  MAWASILIANO  YA  SIMU. PIGA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...