Unahitajika
umakini
wa hali ya
juu sana kwa
mama mjamzito ili
kuhakikisha usalama wa mtoto atakaye
zaliwa pamoja na
usalama wa mama
wakati wote wa
ujauzito ,wakati wa kujifungua
na kipindi chote
atakacho kuwa ana nyonyesha.
Vipo vyakula
mbalimbali ambavyo mama
mjamzito anatakiwa kuviepuka
lakini katika makala
ya leo, tutavitaja vyakula
vitano. Vyakula hivyo ni
kama ifuatavyo :
1. Papai bichi
Ulaji wa
mapapai mabichi au
ambayo hayajaiva vizuri
unaweza kusababisha kuchoropoka
kwa ujauzito (
miscarriage )
2. Mayai mabichi
au mayai ambayo
hayajaiva vizuri
Ulaji wa
mayai mabichi au
mayai ambayo hayajaiva
vizuri unaweza kukusababishia kutapika
na/ama kuharisha ambako
kutamuathiri mtoto aliye
tumboni.
3. Unywaji
wa pombe
Unywaji wa
pombe wakati wa ujauzito
unaweza kusababisha kuchoropoka
kwa mimba.
4.
Utumiaji wa
kafeini
Utumiaji wa
kafeini unaweza kusababisha
kuchoropoka kwa mimba, na
ikitokea mtoto akazaliwa
basi atazaliwa akiwa
na afya dhoofu.
5. Utumiaji wa
samaki wabichi
Utumiaji wa
samaki hasa wenye
kiwango kikubwa cha
madini ya Zebaki
( Mercury) ni hatari sana
kwa mwanamke mjamzito
kwa sababu madini ya
zebaki yanaeza kuathiri
ukuaji wa ubongo
pamoja na mfumo
mzima wa ubongo
wa mtoto aliye
tumboni.
Comments
Post a Comment