Skip to main content

MWANAUME AMPELEKA MKE WAKE MAHAKAMANI KWA SABABU, MKE ANADAI TENDO LA NDOA KILA WAKATI.


Butholezwe  Nyoni

 Mwanaume  mmoja  nchini  Zimbabwe  amemfikisha  mke  wake  mahakamani  kwa  sababu  mke  wake  huyo  amekuwa  akipenda  kufanya  tendo  la  ndoa  kila  wakati  na  hivyo  kumsababishi  usumbufu  mkubwa  bwana  mkubwa  huyo.
Mwanaume  huyo   aliye  fahamika  kwa  jina  la  Butholezwe  Nyoni  mwenye  umri  wa  miaka  62 ,  huku  akitoa  machozi, ali  ieleza  mahakama  kuwa,  mkewe  wa  ndoa, Bi  Martha  Nyoni  amekuwa  akidai  tendo  la  ndoa  kila  mara  na  pindi  anapo  mkatalia  basi  mke  wake  huyo  amekuwa  hamuelewi  na  badala  yake  amekuwa  akimminya  na  kuvuta  korodani  zake  na  kumsababishia  maumivu  makali sana  na  kuathiri  maumbile  yake  kwa  ujumla.

“ Mtukufu  hakimu, mwanamke  huyu  ananisumbua  sana, imefikia  wakati  nashindwa  kurudi  nyumbani  usiku  kwa  sababu  amekuwa  akinisumbua  sana   kwa kutaka  tendo  la  ndoa  kupita  kiasi.
Alisema    Nyoni  mbele  ya  mahakama.
   Ninapomkatalia  amekuwa  akini minya  na  kunivuta  korodani  zangu, na  matokeo  yake  nimepata  tatizo  la  kushindwa  kusimamisha  uume  wangu  kwa  sababu  korodani  zangu  zote  zime  sinyaa “ aliongeza.
Nyoni  alimalizia  kwa  kutoa  ombi  maalumu  kwa  mahakama

  Nimechoshwa  na  mwanamke  huyu, nina  iomba  mahakama  itoe  Protection  Order  kumzuia  mwanamke  huyu  kusogea  karibu  yangu, kwa  sababu  nimetosheka  na  vituko  vya  mwanamke  huyu 

Akitoa  utetezi  wake  mbele  ya  mahakama,   Bi  Martha  Nyoni  mwenye  umri  wa  miaka  35  alisema kuwa  mume  wake  ni  muongo  na  kwamba  ugomvi  wao  mkubwa  ni  juu  ya  mchepuko  wa  mume  wake  huyo.

 Mtukufu  hakimu, anasema  uongo. Amekuwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  tangu  zamani.  Tatizo  ni  kwamba, anaishi  kinyumba  na  mwanamke  ambaye amezaa  nae  mtoto, na  hiyo  ndio  sababu  inayo  tufanya  tugombane  mara  kwa  mara.

CREDIT: MITANDAO  MBALIMBALI  YA  KIJAMII  NCHINI  ZIMBABWE.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...