Ipo idadi kubwa ya watu duniani ambao wana
sumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu
mbaya ya kinywa.
Miongoni mwao
wapo ambao tatizo hilo limekuwa sugu kwa maana ya kwamba licha kuzingatia
kanuni zote za usafi wa kinywa pamoja na kutumia dawa za aina mbalimbali ili
waweze kujitibu tatizo lao lakini tatizo linabaki kuwa pale pale.
Hakuna tatizo linalo fedhehesha kama tatizo la
kutokwa na harufu mbaya ya kinywa.
Jambo hili
humkosesha mtu raha na amani na humfanya akose confidence ya kuingia katika
mahusiano ya kimapenzi.
Kuna watu
tatizo hili ni kubwa kiasi kwamba hata akiwa amekaa na mtu lets say kwenye meza
wanazungumza basi ile harufu mbaya kutoka kinywani kwake huweza kusikika.
Je tatizo hili husababishwa na kitu gani haswa?
1.Harufu mbaya ya
kinywa husababishwa na aina ya bacteria
anayeishi kwenye tishu ndogo kwenye sehemu ya
mgongo wa kinywa (Hususani
kwenye sehemu ya nyuma ya ulimi ).
Bacteria
huyu ndiye husababisha harufu mbaya
ya kinywa. Bacteria huyu anapozaliana na
kukomaa hutoa gesi inayoitwa kitaalamu "Putrid
sulfur gas" ambayo ndio husababisha
harufu mbaya ya kinywa. Kama mtu
anayesumbuliwa na tatizo hili hatopata tiba
sahihi anaweza kuendelea kuteswa na tatizo
hili kwa sababu hakuna aina wala namna yoyote ya
upigaji mswaki ama uoshaji kinywa
inayoweza kumfikia bakteria huyu hata kama
uoshaji huo utafanyika kila siku na
utachukua muda mrefu kiasi gani.
2.Chanzo kingine kikuu
cha harufu mbaya ya kinywa ni utumiaji
wa kiasi kikubwa cha chakula ambacho hubaki
tumboni hasahasa nyama.Chakula chocote
kitakachokaa ndani ya mfumo wa usagaji
wa chakula kwa muda mrefu kitaanza
kuoza, na siku zote nyama inapooza huanza
kutoa harufu mbaya ( kunuka ). Kwa hiyo
hiki nacho ni chanzo kikubwa cha
harufu mbaya ya kinywa.
NINI TIBA YA TATIZO
Tiba ya tatizo hili
itategemeana na chanzo cha tatizo kwa
muhusika. Kama tatizo linaanzia mdomoni kuna
tiba yake na kama tatizo linaanzia
tumboni basi kuna tiba yake pia.
KAMA
TATIZO LINAANZIA MDOMONI Mgonjwa
anatakiwa kutumia dawa maalumu ya kusukutua
kinywa kwa muda maalumu ambayo itasaidia
kuwaua bakteria wanao sababisha harufu mbaya
ya kinywa pamoja na kufuata diet maalumu ambayo
itaepusha kuzaliana kwa bacteria wapya
ndani ya kinywa cha muhusika. Neema Herbalist tunayo dawa maalumu
ya asili ambayo itamsaidia mgonjwa
anayesumbuliwa na tatizo hili kuondokana na
tatizo hilo.. Ni dawa isiyo kuwa na side effect yoyote
kwa mtumiaji kwa sababu ni dawa ya
kienyeji.
KAMA TATIZO LINAANZIA TUMBONI
Kama tatizo linaanzia
tumboni mgonjwa atatakiwa kutumia dawa maalumu
ambayo itaenda kuondoa uchafu wote uliooza
na uliogandamana tumboni ambao ndio chanzo
cha kutokwa na harufu mbaya . ya
kinywa .. Baada ya kutumia dozi hii, mgonjwa
ataweza kuondoa uchafu wote uliogandamana
tumboni kwa njia ya haja kubwa. Pamoja
na dozi hii mgonjwa atapewa maelekezo
ya vyakula na juisi maalumu za
kutumia pamoja na dawa maalumu ya
kutumia kinywani wakati wa kupiga mswaki..
MAMBO YA KUZINGATIA
Kwa wewe ambaye hauna
tatizo hili, zingatia mambo yafuatayo:
1. KUWA
MAKINI SANA NA AINA YA VYAKULA UNAVYO
TUMIA
... Vyakula unavyo paswa
kuepuka kuvitumia ni pamoja na vitunguu,
vitunguu swaumu, unywaji wa pombe, vyakula
vyenye protini nyingi kama vile samaki,
Epuka matumizi ya sukari, kahawa na baadhi
ya aina za dawa za mswaki.
2.KUNYWA MAJI MENGI
Hakikisha
unakunywa maji mengi kila siku ( Angalau Lita Tano
Kwa Siku ). Kufanya hivyo kutakusaidia
kuosha chembechembe za vyakula ambazo
zimebaki mdomoni mwako. Vilevile kutasaidia
kuepusha mdomo mkavu.
3.
EPUKA MATUMIZI YA POMBE.
Pombe
hukausha kinywa. Kinywa kikavu huchochea mazalio ya
bakteria wanao sababisha harufu mbaya ya
kinywa.
4. USIVUTE
. SIGARA:
Kama kweli
una nia kumaliza tatizo la kutokwa na
harufu mbaya ya kinywa unapaswa kuachana
na uvutaji wa sigara. Uvutaji wa sigara
sio tu kwamba uta kusababishia harufu mbaya
ya kinywa bali pia utakausha kinywa
chako na hivyo kusababisha mazaliano ya
bakteria wasababishao harufu mbaya ya kinywa.
5.USINYWE KAHAWA: Kahawa
ina acid ambayo
husababisha kuzaliwa kwa bacteria wanao
sababisha harufu mbaya ya kinywa.
6.PIGA
MSWAKI MARA KWA MARA : Piga
mswaki walau mara mbili kwa siku.
Kama una nafasi piga mswaki kila
baada ya chakula.
7.HAKIKISHA UNACHEKI AFYA
YA KINYWA CHAKO KWA DAKTARI WAKO WA
MENO MARA KWA MARA.
Kwa maelezo zaidi
wasiliana nasi kupitia simu namba 0766
53 83 84.
Comments
Post a Comment