Kijana wa kiume alie fanya punyeto kwa muda wa miaka kumi aelezea jinsi uraibu wa kujichua uume ( punyeto ) unavyo mtesa katika maisha yake ya mahusiano
Hakuna kitu kinawatesa vijana
wa kiume kwenye mahusiano kama
athari zitokanazo na kufanya punyeto kwa muda mrefu. Moja kati ya
athari kubwa kabisa wapitazo
wanaume ambao wamefanya punyeto kwa muda mrefu ni pamoja na maumbile yao ya
kiume kulegea na kusinyaa kabisa na kutokuwa na uwezo wa kusimama vizuri,
kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu( yani kumaliza mchezo
ndani ya dakika chache sana ) uume kusimama ukiwa katika hali ya ulegevu,
kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa nakadhalika. Huyu hapa chini ni
kijana ambae alijihusisha na punyeto kwa muda wa miaka kumi na haya hapa
ndio masahibu yaliyo mkuta kijana huyo. Kijana huyo
ameyaelezea masahibu hayo kupitia mtandao wa kijamii wa jamii forums.
Haya hapa maneno ya kijana huyu :
“ Uraibu wa
punyeto/kujichua kwa zaidi ya miaka kumi suluhisho lake nini na uchukua muda
gani tiba”
Samahani wadau nahitaji msaada nashida ya kuwa na uume
mdogo na kuwai kumwaga na kila aina ya matatizo kutokana na kujuchua toka mwaka
2011 mpaka sasa nmeanza program ya NOFAP nko siku ya 10 nahitaji msaada kwa
yeyote yule alie wai kuwa na hali kama yangu.
Ambae ka experience ili suala la murstabation kwa
miaka kuanzia kumi alie pona kabsa na kuwa mwanaume normal kamili kama wengine
na kuweza kupata mtoto anisaidie kunipa hints aliwezaje na ilichukua muda gani
kupata tiba ntashukuru sana
Kutoka Neema
Herbalist : Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya punyeto na kusinyaa kwa maumbile
ya kiume. Kufahamu kwa kina zaidi kuhusu uhusiano uliopo kati ya kusinyaa kwa
maumbile ya kiume na kupiga punyeto, tembelea link hii hapa chini:
https://neemaherbalist.blogspot.com/2019/07/uhusiano-kati-ya-punyeto-na-kusinyaa_14.html
Comments
Post a Comment