Testimony : Nilianza kwa majaribio nikaishia kuwa teja, Story ya ukweli jinsi nilivyokuwa mtumwa wa kujichua kwa miaka 10
Ilikuwa ni kipindi nipo darasa la sita nikiwa
na miaka 12 kwenye kipindi cha sayansi mwalimu alikuja kufundisha topic ya
mitindo ya maisha kama sikosei ilikuwa ni reproduction.
Ni topic ambayo wengi iliwafanya wawe wasikivu
kama mjuavyo hata watoro walikuwa hawaikosi, sasa katika maswali ya hapa na
pale kuna jamaa akauliza swali kwamba uume ukipakwa sabuni kinatokea nini,
nadhani huyo jamaa alikuwa tayari ashaanza kujichua na hilo swali kauliza
kimafumbo ila kwa akili ya mwalimu mtu mzima alishajua nia ya lile swali.
Mwalimu ndio akaanza kugusia mambo ya nyeto kwamba
kuna wavulana huwa wanajifungia ndani wanaanza kujichezea uume kwa kuuvuta
vuta, hizo sabuni ni vilainishi, wanavuta mbele na nyuma ili wasikie raha
hatimae wanamwaga.
Maswali yakaendelea hapo wakulungwa tukaanza
kuuliza maswali hio raha inafikia utamu wa chai ya maziwa yenye sukari ? hizo
sperms zinavyotoka ni hadi uamue au ni kwa hiari?, kiasi gani cha nguvu
kinatumika?, n.k. mwalimu alikuwa ni mchangamfu haoni aibu kujibu maswali ila
ilikuwa ni kwa mkato anaelezea kidogo anamalizia "mkikuwa mtajua."
Majibu hayakuniridhisha hayo, nilipofika home
nikasubiri mida ya usiku naenda kuoga, nilipasha maji kabisa, basi nikampaka
sabuni nyoka mwenye jicho moja a.k.a one eyed snake kama mwalimu alivyomwita,
nikaanza kufata alichofundisha mwalimu, vuta nje na ndani mara kwa mara, wow
mawii wawii ehh !! nikaanza kusikia stimu najihisi mbinguni, nikanza kuvuta
mbele na nyuma kwa kasi naona na kakiuno nako kanacheza kenyewe, ghafla
nikahisi raha ya ajabu sijawai kupata nusu nidondoke bafuni, faaaaa!!! Wazungu
hao wakatoka, yani zinavyotoka nilishindwa kuji controll nikakuta naguna kama
mtu aliepigwa roba na panya road wamenikaba na kumziba mdomo sauti inatoka kwa
shida,. basi shughuli ilipoisha nikaanza kuhema kama gegedu lililokimbizwa huku
mapigo ya moyo nayo yakiwa spidi, nilihisi mwili mwepesii sana, safari ya
kwanza hii ndio ilianzisha safari nyingine.
kuanzia hapo ndio ukawa mchezo wangu huu, yani
kila siku nikawa naoga hadi nikaanza kupongezwa nimekuwa msafi maana hapo nyuma
kuna baadhi ya siku nilikuwa nategea
sekondari nilienda boarding nikakutana na wadau
watundu zaidi tunapeana maujanja kwamba kamshipa flan kwenye shingo ya
mheshimiwa kakiguswa kanachochea stim, kusafishiwa picha za warembo na walimu
wazuri wa shuleni kwajili ya kuvutia hisia zaidi, kuchelewa kumwaga kwa kuwaza
mitihani au deni, n.k. yani hata kwenye suala la mikanda ya x kulikuwa na
ratiba ya siri kwenda kutazama yani tukitoka hapo kila mtu anaenda kustua,
Nikiwa shule hii ya boarding nilikuwa napiga kavu
tu ama na mate maana shule ilikuwa haina uhuru, ukipigia sabuni watu wanaskia,
waliopigia sabuni ni wale watukutu yanj mnavyooga bafu la wazi wao wamefunga
macho wanapiga mzigo bila aibu, hawa walikuwa na mashindano yao kabisa wanapiga
wazi wazi nani ataerusha bao kwa nguvu lifike mbali, ataewahi kumwaga, n.k.
mshindi ananunuliwa andazi au soda, hawakuwa na aibu kabisa.
Kama kawaida nilipokuwa narudi nyumbani likizo
nilikuwa napiga ya sabuni bafuni, ila nilipomaliza form 4 niliporudi nyumbani
nikaijaribu ya mafuta ya vaseline blue seal zile zenye kikaratasi cha rangi ya
blue kote, wee bwana we!! Konki fayaa!! ni kiboko yani zile game kavu na za
sabuni nilisahau kabisaaa, napizi nikiwa natetemeka kama jenereta napiga na
kelele ohhhhh mixer pumzi nzito, utam mpaka kisogoni.
Nilijaribu mafuta ya aina nyingi kuanzia baby
care, coconut ya nazi, cocoa, hadi aina zingine za vaseline lakini kwenye
utafiti huu mfalme alibaki kuwa vaseline ile iliyoandikwa blueseal ambayo kote
ni ya blue, mafuta cocoa niliwahi tumia ila haya yanahitaji hali ya hewa flani
hivi lasivyo yanakuwa kama baby care (wazoefu wamenipata
nilipomaliza form 4 ndio nikaanza kusex
lakini game zilikuwa chache sana na za kuhesabika yani ni za kuotea. Katika
siku 365 za mwaka nabandua siku 10 tu hizo zengine ni nyeto.
Nilikuja kupata simu inacheza video yani hapa
ilikuwa ni kama mlevi wa pombe aliezoea kunywea nyumbani kaanza kwenda bar,
nilikuwa na memory card maalum kabisa kwajili ya picha na video, nikizichoka
naenda kwa wanachama nawapa zangu wananipa zao mpya, nikaja kununua smartphone
ina internet yani mpaka ile memori kadi niliisahau, mkono wa kushoto upo kwenye
simu huku mkono wa kulia unapiga mzigo, nilibuni hadi mbinu ya kupiga mzigo
nikiwa ndani ya kitanda bila kuchafua blanketi wala shuka, ilikuwa kila
nikienda kulala nastua na kila nikiamka nastua.
Uraibu huu uliendelea mpaka nilipofika miaka 22
ndio nilianza kupunguza kwasababu ndio umri nilipoanza kushika vipesa vya
kuwatoa out, kununulia vizawadi na kuwa na ghetto la kueleweka kidogo, n.k.
Kwa sasa nina miaka 28, nipo huru kwa uraibu huo
kwa miaka sita sasa, sio mtumwa lakini ikitokea emergency napiga cha emergency,
ni mara chache sana kwakweli.
CREDIT : Jamii Forums.
Kutoka Neema
Herbalist : Je na wewe una
sumbuliwa na uraibu wa punyeto? Unajaribu kuacha lakini unashindwa? Unataka
kujaribu kuacha ? Unaweza kujaribu kutumia njia hii hapa chini : https://neemaherbalist.blogspot.com/2016/10/tiba-ya-asili-ya-kuacha-punyeto-kwa.html
N.B: Njia hii haikufanyi kuacha punyeto automatically isipokuwa inaweza
kukusaidia kukulazimisha kuacha punyeto. Ili uweze kuacha
punyeto kwa kutumia njia hii unatakiwa
wewe mwenyewe kwanza uwe na nia ya
dhati ya kuacha
vinginevyo njia hii
haitakusaidia.
KUHUSU KUTIBU
ATHARI ZA PUNYETO: Je mwanaume
alie athirika na
punyeto anaweza kutibiwa na kupona kabisa tatizo lake na kurejea katika
hali yake ya kawaida? Jibu ni
NDIO!!! Kufahamu zaidi kuhusu jinsi
mwanaume alie athirika na punyeto anaweza kupona kabisa athari
alizo zipata kutokana na punyeto, tembelea link hii hapa
chini:
https://neemaherbalist.blogspot.com/2019/07/uhusiano-kati-ya-punyeto-na-kusinyaa_14.html
Pamoja na
link hii hapa chini:
https://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
Comments
Post a Comment