JINSI TANGAWIZI, MANJANO NA TUI LA NAZI VINAVYO SAIDIA KUREKEBISHA KIWANGO CHA SUKARI MWILINI PAMOJA NA KUONDOA SUMU MWILINI
Tui la nazi, mafuta ya nazi, tangawizi , pilipili na binzari ya unga au manjano vinapo changanywa kwa pamoja huwa na faida kubwa sana kwenye afya ya mwanadamu. Mchanganyiko huu pamoja na faida nyingine, husaidia kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu, kuondoa sumu kwenye ini na mwilini kwa ujumla pamoja na kuondoa lehemu isiyo faa. MAHITAJI : 1. Kijiko kidogo cha unga wa manjano 2. Tangawizi kipande kimoja 3. Vikombe vikubwa viwili vya tui la nazi 4. Kijiko kimoja kikubwa cha mafuta ya ...