MAAJABU YA KORODANI ZA MBUZI, KORODANI ZA KUKU NA DAWA YA JIKO KATIKA KUPONYA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME..
Picha ya Beberu au Mbuzi Dume. Korodani za Mbuzi Dume aliyekomaa hutumika katika dozi ya JIKO ambayo ni dawa bora kabisa ya kutibu na kumaliza tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Mgonjwa anashauriwa kula supu ya korodani za mbuzi mara moja kwa wiki kwa muda wa wiki nne ambao ndio muda wa kutumia dozi ya dawa ya JIKO. Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha. Tatizo hili linawakabili mamilioni ya ...