Unene ni tatizo
linalo wakabili watu
wengi duniani. Kwa mujibu
wa tafiti mbalimbali
za kitaalamu, unene una
madhara makubwa kuliko
inavyo dhaniwa.
Hizi ni
sababu 18 kwa
nini unatakiwa kupunguza
unene.
1.
Unene
unaongeza kiwango cha
mafuta mwilini, ambayo huongeza
uwezekano wa kupata
kansa.
2. Unene unaongeza
mafuta mwilini, ambayo hufanya
matibabu ya kansa
kuwa magumu zaidi.
3. Unene huongeza mafuta mwilini
ambayo hushinikiza na
kuubana moyo.
4. Mtu
mnene huwa mvivu
kufanya mazoezi, suala ambalo
humuongezea zaidi unene.
5. Mafuta mengi
mwilini yana madhara
kwa ubongo.
6. Unene huongeza
uzito katika mifupa
na viunga vya
mifupa ( bone joints )
7. Unene husababisha kibofu cha mkojo kibanwe
suala linalo sababisha
matatizo mbalimbali ya
mkojo.
8. Unene hupunguza
uwezo wa kujamiiana
wa mtu.
9. Unene
hupunguza uwezo
wa kuzaa na
hata kusababisha utasa
na ugumba.
10.
Unene husababisha
kibofu cha mkojo
kibanwe, suala linalo sababisha
matatizo mbalimbali ya
mkojo.
11. Unene
huweza kuufanya mwili
upatwe kwa wepesi
na magonjwa mbalimbali kama
vile kisukari na
presha.
12.
Watu wanene wanapofika
hospitalini, upimaji wao pia
huwa wa matatizo.
13.
Unene
husababisha ujauzito kuwa
wenye matatizo mengi.
14.
Unene
huathiri pia afya
ya motto mchanga
anaye zaliwa.
15.
Unene hufanya matibabu
ya pumu ( asthma ) yawe magumu.
16.
Unene
hupelekea mtu asilale vizuri
na wakati mwingine mtu
mnene anapolala hubanwa na
pumzi suala linalo mfanya aamke
mara kwa mara.
17.
Unene humfanya mtu
ashindwe kuwajibika vizuri kazini
na hata kuathiri
utendaji kazi wake.
18.
Unene hufanya matumizi
ya fedha kuwa
makubwa unapokumbwa na
magonjwa yasababishwayo na
unene.
Comments
Post a Comment