Skip to main content

NYUMBA ZINAPAGISHWA DAR/ NYUMBA INAUZWA ARUSHA





KIWANJA  KINAUZWA  MBEZI  BLOCK  J
Medium, Sqm  900, Tittle  99  years. Kina  servant  Quarter.
Bei  Sh. Milioni  160.
MAWASILIANO  :

0687666198.


  NYUMBA  INAUZWA   ARUSHA.

NYUMBA  INAUZWA, IPO  KISONGO  ARUSHA. Imekamilika , ina  vyumba  vitatu, ina  umeme  na  eneo  la  kutosha  lenye  ukubwa  wa  15 x 7.  Bei  Tshs. Milioni  20.
MAWASILIANO  :
0755907520.

KIWANJA  KINAUZWA  MAKONGO  JUU.
Kiwanja  kipo  katika  eneo  la   Makongo  Juu, kina   ukubwa  wa   40  X  30. Bei  Shilingi  Milioni  26.
MAWASILIANO  :
0715768811
0762108208.

PLOT  INAUZWA  PUGU
Ipo  katika  eneo  la   Pugu   Kinyamwezi, Dar  Es  salaam. Ina  Ukubwa  wa  Sqm. 945. Bei  maelewano.

MAWASILIANO  ;
0786888824.
0717031290.

 NUNUA  SHAMBA  &  KIWANJA  KIBAHA.
Viwanja  na  mashamba  vinauzwa  Kibaha  Msangani. Vipo  katika  mazingira  mazuri. Bei  maelewano. Pia  nyumba  inauzwa    Kibaha  Picha  ya  ndege.
MAWASILIANO
0788758808
0765789597

NYUMBA  ZINAPAGINSHWA  DAR 
Nyumba  zinapangishwa  Kinondoni,  Mbezi  Beach, Bahari  Beach, Tegeta, Kijitonyama, Gongo  la  Mboto,. Ubungo  na  Kimara.
MAWASILIANO  :
0765986852.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...