Skip to main content

MASAJI ! MASAJI ! MASAJI !




Wewe  ni  mkaazi  wa  Dar  Es  salaam  au  ni  mgeni  umetembelea  jijini  Dar  Es  salaam?
Unajiuliza ni  wapi  utaweza  kupata  huduma  ya  masaji? Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako. Kuanzia  leo  tutakuwa  tunaweka  taarifa  kuhusu  vituo  mbalimbali  vinavyo  toa  huduma  ya   masaji  jijini  DAR  ES  SALAAM.
Kwa  kuanza, siku  ya  leo, tupo  na  kituo   cha  masaji  kijulikanacho  kama  MONTE CARLO MASSAGE  PARLOUR.

Monte  Carlo  ni  moja  kati  ya  vituo  vinavyo  toa  huduma  bora  kabisa  za  masaji  jijini  Dar  Es  salaam.
Kituo  hiki  kinapatikana  katika  eneo  la  Sinza  Opposite  na  Meeda  Bar.
Ndani  ya  kituo  hiki  kuna  wahudumu  wa  kike  maridadi  sana, ambao  wamebobea  katika  kutoa  huduma  bora  za  masaji.
Mazingira  ya  kituo  hiki  ni  masafi, yenye  kuvutia  na  tulivu sana  kiasi  cha  kukufanya     ufurahie   huduma.
Waliopata  bahati  ya  kupata  huduma  katika  kituo  hiki, hawaachi  kutoa  sifa  lukuki  kwa  wahudumu kutokana  na  ufanisi  na  umakini  wao  katika  kutoa  huduma  ya  masaji.
Unangoja  nini? Fika  leo   katika  kituo  cha  masaji  cha  Montecarlo  kilichopo  katika  eneo  la  Sinza  karibu  na  Bar  ya  Meeda.
Kwa  maelezo  zaidi, wasiliana  nao  kwa  simu   0714902747.

MASAJI  KWA  AFYA  YA  MWILI  NA  AKILI.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...