Skip to main content

LUPITA NYON'GO APAGAWA BAADA YA KUSIKIA JINA LAKE LIKITAJWA KWENYE WIMBO WA JAY Z.







Jana  katika  ukurasa  wake  wa  twitter  mwanadiva  Lupita  Nyon’go  ali  tweet  akielezea  namna  alivyo  pagawa  kwa  furaha  maraa  baada  ya  kusikia  jina  lake  likitajwa  kwenye  wimbo  wa  Jay  Z.

“    Unajua  kwamba sasa  wewe  ni  mtu  muhimu, pindi  mwanamuziki  kama  Jay  Z  anapotaja  jina  lako  kwenye  wimbo  wake.  Najua  kushinda  tuzo  ya  Oscar  ni  kitu  kikubwa  sana  lakini bado  nilijiona  wa  kipekee  sana  pindi  nilipo  sikia  jina  langu  likitajwa  kwenye  wimbo  wa  Jigga”

 Katika  wimbo  huo  uitwao  “ We  made  It”   ambao  amefanya  na  Jay  Electronica  na  ambamo  pia  ame  ndiss  Rapper  Drake , Jay  anasikika  akisema :

“ I’m on my Lupita Nyong’o, Stuntin’ on stage after 12 Years A Slave. This Ace of Spades look like an Oscar. Black tux, look like a mobster. “

Kuusikiliza  wimbo  huo  tembelea : 
http://www.youtube.com/watch?v=CcJS7shAcpc

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...