.
Muimbaji kutoka
THT Estelinah Sanga
almaarufu kama Linah
amedai ya kwamba
kuna mastaa wengi
wa kike wanao
jihusisha na mapenzi
ya jinsia moja
na kwamba, kuna staa mmoja
aliwahi kumshawishi kuingia
naye katika uhusiano
wa jinsia moja , ambapo
alimkataa na kuvunja
naye urafiki.
Hapa chini
ni sehemu ya
mahojiano kati ya
Linah na gazeti
la Risasi la
leo Jumatano, tarehe 09 APRILI 2014, litolewalo na
kampuni ya Global
Publishers.
Risasi : UNATAJWA
KWENYE USAGAJI
LINAH :
Usagaji upo sana
kwa mastaa, nausikia sikia
lakini mimi sijawahi
kusagana na wala
sifikirii. Lakini ni
kweli kuna staa
mmoja, naomba nisimtaje, alianza
kuonyesha dalili za
kunitaka kwenye mchezo
huo mchafu, nikavunja urafiki
naye.
Comments
Post a Comment