Mti wa
mwembe mbali ya
kuzaa tunda la
embe ambalo hutumika
kama chakula au
kinywaji ( juisi ) chenye
ladha ninayo vutia, una
faida lukuki za kiafya
kwa mwili wa
mwanadamu.
Zifuatazo ni
baadhi ya faida
za kiafya za
mti wa mwembe.
1. MAJANI YA
MTI WA MWEMBE
:
Majani machanga
ya mti wa
mwembe yakichemshwa huwa na
faida zifuatazo ;
i.
Hutibu pumu
ii.
Hutibu
kifua kikavu
iii.
Hutumika
katika kuoshea vidonda
vitokanavyo na majeraha
mbalimbali ( Majani
ya maembe yamethibitika
kuwa na uwezo
mkubwa wa kukausha
majeraha ya vidonda
)
iv.
Unga
wa majani ya
mwembe hutumika katika
kutunza meno ambapo
mtu mwenye matatizo
ya meno atatakiwa
kusukutua kwa kutumia
unga unaotokana na
majani ya mwembe.
2. KOKWA LA
EMBE
Unga unaotokana
na kokwa la
embe husaidia kuzuia
kuharisha na kuhara
damu.
3. T
UNDA LA
EMBE
i.
Ulaji
wa tunda la
embe husaidia kutibu
minyoo na kuzuia
uvujaji wa damu
ovyo.
ii.
Tunda
la embe lina vitamin
C
na hivyo ulaji
wake husaidia kuponesha
vidonda kwa haraka, hivyo
basi mlaji sana
wa tunda la
embe endapo atapata
vidonda basi atapona
kwa haraka sana
kuliko mtu asiye
tumia tunda hili
mara kwa mara.
iii.
Huwasaidia
watu wenye matatizo
ya kutokupata choo.
iv.
Utumiaji
wa maembe mabichi
husaidia kuondoa mawe
kwenye figo na
hivyo kuepuka kufanyiwa
upasuaji.
v.
Embe
bichi likichanganywa na
chumvi na sukari
na kasha kuchemshwa
ni tiba ya
tatizo la mapigo
ya moyo kwenda
kwa haraka.
MAGOME YA
MWEMBE
Magome ya
mti wa mwembe
yakichemshwa ni dawa
nzuri ya homa.
JUISI YA
EMBE :
Juisi ya
embe ikichanganywa na
maziwa fresh husaidia
kurejesha afya ya
,tu aliye dhoofika.
Vile vile
kunusa juisi ya embe
kunasaidia kuzuia tatizo
la kutoka damu
puani. Hivyo basi juisi
ya embe inaweza
kutumika kama huduma
ya kwanza kwa
mtu anaye tokwa
na damu puani.
Comments
Post a Comment