Je wewe ni
mjasiriamali mdogo? Unataka
kujiajiri na kuongeza
kipato chako ?
Kama jibu ni
ndio basi hii
ni habari njema
sana kwako.
Neema Herbalist &
Nutritional Foods Clinic
kwa kushirikiana na mashirika
rafiki, inakualika kushiriki katika
SEMINA YA UANDAAJI,UTAYARISHAJI NA
UTENGENEZAJI WA VYAKULA-LISHE MAALUMU
KWA WATU WENYE
MATATIZO MBALIMBALI YA
KIAFYA .
Masomo yatakayo fundishwa
katika semina hii, ni
pamoja na Utengenezaji, Uandaaji na
Utayarishaji wa vyakula
-lishe maalumu kwa
watu wenye magonjwa
na matatizo mbalimbali
ya kiafya kama
vile :
1.
Ukosefu wa
nguvu za kiume.
2.
Ukosefu
wa ashkhi ya
tendo la ndoa
kwa wanawake.
3.
Kupunguza uzito
na unene.
4.
Presha
na kisukari.
5.
Vidonda
Vya Tumbo.
6.
Matatizo ya
uzazi kwa wanawake
na wanaume.
7.
Pumu
na mzio (aleji )
8.
Kolestrol
9.
Harufu
mbaya ya kinywa
10.
Presha
na kisukari.
11.
Magonjwa ya
ngozi.
12.
Magonjwa ya
wanawake na watoto
Pamoja na
magonjwa mengine mengi.
ADA YA
KUSHIRIKI KATIKA SEMINA
HII: Ni shilingi ELFU
KUMI NA TANO
TU.
MAHALI : Semina
hii itafanyika katika
Ukumbi wa SINZA
CHRISTIAN CENTRE uliopo
katika eneo la
SINZA PALESTINA.
LINI : Semina itafanyika
siku ya JUMAMOSI
ya Tarehe 12
APRILI 2014 kuanzia
saa 5 kamili asubuhi
hadi saa 5
kamili alasiri.
WASHIRIKI WOTE
WA SEMINA, WATASAIDIWA JINSI
YA KUANZISHA NA
KUENDESHA BIASHARA
YA KUTOA HUDUMA
YA VYAKULA-LISHE KWA WATU
WENYE MATATIZO MBALIMBALI
YA KIAFYA.
Kujiandikisha katika
semina hii, andika barua
pepe kwenda : neemaherbalist@gmail.com
Au PIGA
simu : 0766538384.
WAHI KUJIANDIKISHA MAPEMA, KWANI NAFASI ZILIZOPO NI CHACHE.
Comments
Post a Comment