Skip to main content

MAAJABU YA KORODANI ZA MBUZI, KORODANI ZA KUKU NA DAWA YA JIKO KATIKA KUPONYA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME..




Picha  ya  Beberu  au Mbuzi Dume. Korodani  za  Mbuzi  Dume  aliyekomaa  hutumika  katika  dozi  ya  JIKO  ambayo  ni  dawa  bora  kabisa  ya  kutibu  na  kumaliza  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu za  kiume.  Mgonjwa  anashauriwa  kula  supu  ya  korodani  za  mbuzi  mara  moja  kwa  wiki  kwa  muda  wa  wiki nne  ambao  ndio  muda  wa  kutumia  dozi  ya  dawa  ya  JIKO.


Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa  kukamilisha  tendo  la  ndoa  kwa  ufasaha.
Tatizo  hili  linawakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani  na  limekuwa  na  athari  nyingi  kama  vile  kuvunjika  kwa  mahusiano  na  hata  ndoa.
Mwanaume  mwenye  tatizo  la  ukosefu ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  anakuwa  hana  uwezo  wa  kumtosheleza  mwanamke   kwenye  tendo  la  ndoa .



Korodani  za  Jogoo  ni  kiungo  muhimu  sana  katika  dozi  ya   dawa  ya  JIKO Zikitumika  pamoja  na  dawa  ya  JIKO  humsaidia  mtu  kuwa  na  uwezo  wa  kurudia  tendo  la  ndoa  bila  kuchoka. Mgonjwa  anashauriwa  kumeza  korodani  mbili  za  Jogoo  aliyekomaa  walau  mara  moja  wakati  anapotumia  dozi  ya  dawa  ya  JIKO.

DALILI   ZA   UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.

Mwanaume  anayekabiliwa  na  tatizo  la  ukosefu ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume   huonyesha  dalili  zifuatazo :
1.            Kutokuwa  na  uwezo  wa  kusimamisha  uume  wake  barabara. Kwa  kawaida   uume  wa  mwanaume  aliyekamilika ( rijali ) unaposimama, hutakiwa  kuwa  imara  kama  msumari, lakini  kwa  mwanaume  anaye kabiliwa  na  tatizo  hili  uume  wake  hata  ukisimama  hubakia  kuwa  lege lege  na  huweza  kusinyaa  wakati  wowote. Tatizo  hili  ni  matokeo  ya  kulegea  kwa  mishipa  ya  uume. Mishipa  ya  uume  ndio  inayo  ufanya  uume  usimame  barabara. Mishipa hii  inapokuwa  imelegea, uume  hauwezi  kusimama  barabara  hata  iweje. Kulegea  kwa  mishipa  ya  kiume  kunasababishwa  na  upigaji  wa  punyeto  kwa  muda  mrefu. Mtu  anaye piga  punyeto  anakuwa  anaiminya  mishipa  inayo  sababisha   kusimama  kwa  uume, baada  ya  muda  fulani, mishipa  hiyo  huishiwa  nguvu  na  kulegea  na  hivyo  linapo kuja  suala  la  kusimamisha  uume, mwanaume  huyu  anakuwa  hana  uwezo  tena  wa  kusimamisha  uume  wake.
Vilevile  matumizi  ya  madawa  makali  ( hususani  madawa  ya  kizungu )  ya  kuongeza  nguvu za  kiume, husababisha  mishipa  ya  uume  kulegea. Hii  ni  kwa  sababu  madawa  haya  hu I overdose  mishipa hiyo na  kuilazimisha  kufanya  kazi  zaidi  ya  kiwango  chake.
Matumizi  haya  yanapokuwa  ya   muda  mrefu  humfanya  muhusika  kuwa  tegemezi  na  pia  hufanya  mishipa   ya  uume  wa  muhusika  kulegea  na  kukosa  nguvu.
2.          Kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa: Hapa  mwanaume  anakuwa  hana  uwezo  wa  kutamani  kufanya  tendo  la  ndoa  hata  anapokuwa  faragha  na  mke  wake. Tatizo  hili   kwa  kiasi  kikubwa  husababishwa  na  msongo  wa mawazo.
3.          Kutokuwa  na  uwezo  wa  kurudia  tendo  la  ndoa  zaidi  ya  mara  moja. Hapa  mwanaume  akishakamilisha  mshindo  mmoja  wa  tendo  la  ndoa  basi  anakuwa  hana  tena  uwezo  wa  kurudia  mshindo  mwingine.  Hali  hii  husababishwa  na  kutokuwa  na  msukumo  wa  damu  wa  kutosha  kwenye  mishipa ya kwenye  uume.
4.       Kufika  kileleni  mapema.
5.          Kutokuwa  na  uwezo  wa  kusimamisha  kabisa . Hali  hii  hutokea  pindi  tatizo la kutokuwepo kwa  msukumo  wa  damu  wa  kutosha  kwenye  mishipa  ya  uume,  linapokuwa  limekomaa.  Na  wakati  mwingine, hali hii  hutokea  pindi  vyanzo zaidi  ya  kimoja  vya  tatizo  la  kiume  vinapo kuwa  vimejitokeza  kwa  mtu mmoja.
6.          Uume  kusinyaa  na  kurudi  ndani. Hapa  uume  wa  mwanaume  unakuwa  umesinyaa  na  kurudi  ndani. Uume  huu  unakuwa  hauna  uwezo  wa  kukamilisha  tendo  la  ndoa. Hali  hii  kwa  kiasi  kikubwa  husababishwa  na  upigaji  wa punyeto  kwa  muda  mrefu  pamoja  na  magonjwa  hasa hasa  chango  la  kiume  au  ngiri.
Tajwa  hapo  juu  ni  dalili  kuu  za  tatizo  la  ukosefu   ama/na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

CHANZO   CHA   TATIZO  LA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
Kwa  ufupi sana, mambo  yafuatayo  ndio  vyanzo  vikuu  vya  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.
i.                     Upigaji  punyeto  wa  muda  mrefu.
ii.                   Msongo  wa  mawazo.
iii.                 Ugonjwa  wa  kisukari  na  presha.
iv.                 Kupooza  kwa  mwili.
v.                   Kuugua  ugonjwa  wa  ngiri.
vi.                 Kuugua  chango  la  kiume.
vii.               Ulevi  ulio kithiri.
viii.             Wasiwasi  wa  kutekeleza   tendo  la  ndoa
ix.                 Uoga  wa  kufanya  tendo  la  ndoa.
x.                   Uzoefu  wa  kukatisha  tamaa  wa  siku  za  nyumaa.
xi.                 Ulaji  mbovu  wa  vyakula  haswa  haswa  ulaji  wa  vyakula  vya  mafuta  kwa  wingi  kupita  kiasi.
xii.               Mazingira  yasiyoridhisha  wakati  wa  tendo  la  ndoa.

Mtumiaji  wa  dozi  ya  dawa  ya  JIKO   anashauriwa  kutumia  matikiti  maji  yapatayo  manne ndani  ya  wiki  nne  za  kutumia  dozi  ya  dawa  ya  JIKO  ambayo  ni  sawa  na  wastani  wa  tikiti  moja  kwa  kila  wiki  moja.

ATHARI   ZA   UPUNGUFU / UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME
Kutokuwa  na  nguvu  za  kiume  huleta  madhara  na  athari nyingi  sana  kwa  muhusika. Baadhi  ya  athari  hizo  ni  pamoja  na   :


1. Kuvunjika  kwa  mahusiano  ya  kimapenzi.
2. Kuvunjika  kwa  ndoa.
3. Kujiua  :  Baadhi  ya  wanaume  hufikia  uamuzi  wa  kujiua  baada  ya  tatizo  kuwa  kubwa  na kutumia  dawa  za  aina  mbalimbali   bila  mafanikio.
4. Upungufu   wa  nguvu  za  kiume  huongeza  chachu  ya  maambukizi  ya  v.v.u  kwa  wanandoa :Tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  linapokuwa  sugu, hupelekea  rafiki  wa  kike/ mke  wa  mwanaume anaye  sumbuliwa  na  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, kutoka  nje  ya  ndoa kwa  ajili  ya  kutimiziwa  haja  zake  za  kimwili, mwisho  wa  siku  mwanamke huyo  huweza  kumletea  magonjwa  mume  wake  mwenye  tatizo  la  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  pindi  wanapokutana  kimwili  katika  hali hiyo  hiyo  ya  kutoridhishana

5. Ulevi  kupita  kiasi
; Wakati  mwingine  wanaume  wanao  sumbuliwa  na  tatizo  hili, huamua  kuwa  walevi  kupita  kiasi  ili  angalau  kupunguza  mawazo.
Kwa  ufupi  ukosefu/ upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  tatizo  kubwa  sana  ambalo  endapo  halitatafutiwa  ufumbuzi   na  muhusika linaweza  kuyaathiri  maisha  ya  muhusika  kwa  kiasi  kikubwa  sana.

Mtumiaji  wa  dozi  ya  dawa  ya JIKO    anashauriwa  kutumia  kilo  nne  za karanga  mbichi  ndani  ya  wiki  nne za  dozi  ya  dawa  ya  JIKO  ambayo  ni  sawa  na wastani  wa  kilo  moja  ya  karanga  kwa  waiki.



TIBA   ASILIA   YA  TATIZO   LA  NGUVU  ZA  KIUME.
Zipo  dawa  mbalimbali  asilia  zinazo  weza  kutibu  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume. Kati  ya  tiba  hizo, tiba ya  dawa  asilia  ya  nguvu  za  kiume  iitwayo  “ JIKO “  imethibitika  kuwa  na  uwezo  wa  kutibu  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  zaidi  ya  ASILIMIA  MIA  MOJA  ( 100% )

KUHUSU  DAWA  YA  JIKO.
Dawa  ya  JIKO  ni   dawa  ya a silia  ( herbal )  inayo  tumika  kutibu na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za  kiume  pamoja  na  visababishi   vya  tatizo  hii. Dawa  hii  haimalizi  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  pekee, bali pia  inatibu  visababishi  ama  vyanzo  vyote  vya  tatizo  la  nguvu  za  kiume  pamoja  na  side  effects  zitokanazo  na  baadhi  ya  visababishi  vya  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  kama  vile  kujichua  kwa  muda  mrefu.
Dawa  hii  ni  mitishamba kabisa  “ pure  herbal “  ambayo  haijachanganywa  na  kemikali  yoyote  na  haina  ‘side effects “ kwa  mtumiaji.
Dawa  hii  hutibu  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume  ndani  ya  siku  thelathini       ( 30 ).
MFUMO  WA  DAWA
Dawa  ya  JIKO   ipo  katika  mfumo  wa  mizizi.
MATUMIZI   YA   DAWA .
Dawa  hii  hutumika  kwa  kuchemshwa  na  kisha  kunywa  juisi  yake  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni  kwa  muda  wa  siku  thelathini.

DOZI  YA  DAWA  YA  JIKO :
Dozi  ya  dawa  ya  JIKO  hutumika  pamoja  na  vitu  vikuu  vitatu :
i.                     Korodani  za  Beberu.
ii.                   Korodani  za   Jogoo  aliye komaa.
iii.                 Unga  wa  Habbat  Sawdah  au  Unga  wa Mjafari  au  Unga  wa  Ngano (  Hapa  kama  utakosa  unga  wa  Habbat  Sawdah  ama  Unga  wa  Mjafari  unaweza  ukatumia  unga  wa  ngano  kama  mbadala  wake  ).
iv.                 Karanga  mbichi.


MATAYARISHO  NA  MATUMIZI   YA  DOZI  YA    DAWA  YA JIKO:
i.               Dawa  Ya  Jiko  Yenyewe.
Chukua   dawa  yako  ya  JIKO kisha  iweke  kwenye  sufuria  halafu  ongeza  lita  mbili  za  maji  halafu  chemsha hadi  dawa  yako  itakapo anza  kutokota  na  kutoa  supu.  Ipua  dawa  yako na  uihifadhi  kwenye  chupa  ya  chai             ( Thermos ). Tumia  kunywa  vikombe viwili  vya  dawa  yako  mara  mbili  kwa siku, asubuhi  na  jioni.  Utakunywa  dawa  yako  ikiwa  ya  moto na  sio ikiwa  ya  baridi. Kama  itaingiwa  na  ubaridi  kwa  sababu  moja  au  nyingine, unatakiwa  kuipasha  moto. Utafanya  hivyo  kwa  muda  wa  siku  thelathini.
N.B : JUISI  YAKO  IKIISHA, UTACHEMSHA  KIASI  KINGINE  CHA  DAWA  NA  KUFANYA  KAMA  HAPO  JUU  HADI  ZITIMIE  SIKU THELATHINI.

ii.                   KORODANI   ZA   MBUZI.
Chukua  korodani  mbili  za   mbuzi. Zitie  ndani  ya  lita  mbili  za  maji  na  uchemshe  kutengeneza  supu . Supu  yako  ikiisha  iva  utatumia   kula  supu  yako  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  jioni. Hapa  asubuhi  utakula  supu  yako  na  kipande  kimoja  cha  korodani  na  jioni  utamaliza  supu  yako  na  kipande  kingine  cha  korodani. Unaweza  kuweka  na  pilipili  mbuzi  kwa  ajili  ya  kuongeza  ladha.
Utafanya  hivi  mara  moja  kwa wiki  kwa  wiki  nne.  Yaani utakula  supu  mara  moja  kwa  wiki  ya  kwanza, wiki ya  pili  utakula  supu  yako  tena , wiki ya  tatu  utakula  supu  yako  na  wiki  ya  nne  utamalizia  dozi  yako.
HATA  HIVYO  KAMA  UNA  UWEZO  NA  NAFASI  UNAWEZA  KULA  SUPU  YAKO  YA  KORODANI  ZA  MBUZI  KWA  MUDA  WA  SIKU ZOTE  THELATHINI  ZA  DOZI. UKIFANYA  HIVI  MATOKEA  YATAKUWA  MARADUFU ZAIDI.
VILEVILE  HATA  BAADA  YA  KUMALIZA  DOZI  YAKO  UNAWEZA  KUWA  UNAKULA  SUPU  YA  KORODANI  ZA  MBUZI  KILA  UTAKAPO  PATA  NAFASI  YA  KUFANYA  HIVYO.


iii.                 KORODANI  ZA   JOGOO.
Unatakiwa  kumeza  korodani  za  Jogoo  aliyekomaa  zikiwa  mbichi. Utameza  nzima nzima  zikiwa  mbichi. Utazimeza  pamoja  na  maji  ya  moto .
MATAYARISHO :
Unatakiwa  uwe  na  vitu  vifuatavyo :
i.                     Jogoo  aliyekomaa  pamoja  na  kisu  kikali  ama  mchinjaji  wa jogoo.
ii.                   Unga  wa  Habbat  Sawdah  au
iii.                 Unga  wa  Mjafari  au
iv.                 Unga  wa  Ngano.
v.                   Kisosi au kiplate.
vi.                 Glasi  mbili  za  maji  ya  uvuguvugu.

JINSI  YA  KUFANYA :
Chinja  jogoo  wako  kisha  mpasue  kunyofoa  korodani  zake. Baada  ya  kupata  korodani  za  jogoo, ziweke  kwenye  kisosi   au kiplate  chenye  unga  wa  habbat  sawdah  au  unga  wa  mjafari  au  unga  wa  ngano kisha  viringisha  korodani hizo za jogoo  kwenye  unga  huo  halafu  meza  korodani  moja  baada  ya  nyingine  kwa  glasi moja  ya  maji  ya  uvuguvugu.
Utafanya  hivi  mara  moja  ndani  ya  hizo  siku  thelathini za  dozi.  Unaweza  kufanya  siku  ya  kwanza  tangu uanze dozi  yako  au  unaweza  kufanya  katikati  ya  dozi  au  hata  wakati  unamaliza  dozi.
N.B: KAMA  UNA  UWEZO  NA  NAFASI  UNASHAURIWA  KUMEZA  KORODANI ZA JOGOO  KWA  WINGI  KADRI  UTAKAVYO WEZA. UTAPATA  MATOKEO   BORA  ZAIDI. KORODANI  ZA  JOGOO   PAMOJA  NA  DAWA  YA  JIKO  ZITAKUSAIDIA  KUWA  NA  UWEZO  WA  KURUDIA  TENDO  BILA  KUCHOKA  NA  KUKAA  KIFUANI  KWA  MUDA  MREFU  ZAIDI.
VYAKULA   VYA  KUTUMIA :
i. Unashauriwa  kutumia   kilo  moja  ya  karanga  mbichi   kila  wiki  kwa  muda  wa  wiki  zote  nne  za  dozi  yako. Hii ina  maana  kuwa  kwa  wiki zote  nne  utatakiwa  kutafuna  kilo  nne  za  karanga  mbichi.
N.B : KAMA  UTAWEZA  KUTUMIA  ZAIDI  YA  KIWANGO  HICHO  HAPO   JUU, LITAKUWA  NI  JAMBO  BORA  ZAIDI.
ii.  Vile vile  unatakiwa  kula  tikiti  maji  moja  kwa  wiki  kwa  muda  wa  wiki  nne  za  dozi. Yaani  wiki  ya  kwanza  ule  tikiti  moja. Wiki  ya  pili  tikiti  moja. Wiki  ya  Tatu  tikiti  moja  na wiki  ya  nne  tikiti  moja, jumla  matikiti  manne  kwa  mwezi. UNATAKIWA  KUTAFUNA PAMOJA  NA MBEGU  ZAKE.

KAZI  INAYO  FANYWA  NA  DAWA  YA  JIKO .
Dawa  ya  JIKO  inasadia  katika  mambo  makuu yafuatayo:
i.             Inasaidia   kuimarisha  mishipa  ya  uume  ulio legea  na  hivyo  kuufanya  uume  uwe  na uwezo  wa  kusimama  barabara  kama  msumari  wakati  wa  tendo  la  ndoa.
ii.           Inasaidia  kusafisha  mishipa  ya  kwenye  uume  na  hivyo  kusaidia  katika  kuongeza  kasi  ya  msukumo  wa  damu  kwenye  mishipa  ya  kwenye  uume.
iii.         Husaidia  kuongeza  msukumo (pressure)  wa  damu  kwenye  mishipa  ya  uume  na  hivyo  kuufanya  uume  kuwa  na  nguvu  za  ajabu.
iv.         Husaidia  kurelax  mind  na  hivyo  kumfanya  mtu  awe  na  uwezo  wa  kuconcentrate  wakati  wa  tendo la  ndoa   bila  kuathiriwa  na  msongo  wa  mawazo.
v.           Humfanya  mwanaume  awe  na  uwezo  wa  kurudia  tendo  la  ndoa  zaidi  ya  mara  moja  bila  kuchoka.
vi.         Husaidia  kuongeza  hamu  ya  tendo  la  ndoa.
vii.       Husaidia  kuurudisha  nje  uume  ulio ingia  ndani.
viii.     Husaidia  kutibu  side effects  za  punyeto  na  matumizi  ya  muda  mrefu  ya dawa  kali  za  (za  kizungu ) za  kuongeza  nguvu  za  kiume.
ix.         Husaidia  kutibu  chango  la  kiume.
x.           Dawa  hii  huwasaidia  hata  wanawake  wanao sumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu  wa  hamu ya  tendo  la  ndoa.
BEI   YA  DAWA : BEI  YA   DAWA   HII NI SHILINGI  ELFU THEMANINI  TU.( Tshs.80,000/=)
JINSI  YA  KUIPATA  DAWA : Unaweza  kuja  kuichukua  ofisini  kwetu  au  kwa  wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu  tunatoa  huduma  ya  kuwapelekea  dawa  mahali  walipo
( DELIVERY ).
KWA  WATEJA  WA  MIKOANI : Kwa  wateja  wa  mikoani  tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  magari  na  wale  wa  Zanzibar  tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  meli.
KWA  WATEJA  WA  NCHI  JIRANI : Kenya, Uganda, Rwanda & Burundi  tunawatumia  dawa kwa  njia  ya  mabasi.
Kwa  wateja  wa  nje  ya   Afrika : Kwa  wateja  wa  nje  ya  Afrika  tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  posta  au  DHL.
Kwa  wateja wa  SOUTH  AFRIKA NA  BOTSWANA.
Kwa  wateja  wetu  waliopo South  Afrika  na  Botswana  tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  mabasi  au  posta.
MAWASILIANO : Wasiliana  nasi  kwa simu  namba  0766538384.

Comments

  1. Ahsante kwa elimu hii kupitia Neema hebal sanintarium Clinic

    ReplyDelete
  2. Mko vizuri sanaa. Tatizo kuzipata hizo korodani, za mbuzi na kuku ni shida, yaan kila siku uchinje jogooo duuuuuh

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...