Skip to main content

KUPUNGUA INAWEZEKANA


  

Chantell Jackson  siku  aliyo  anza  mazoezi.
                    
Unene  uliopitiliza, ni  jambo  linalo  watesa  watu  wengi  sana. Watu wengi  wamekata  tamaa  ya  kupungua  na kuendelea  kujiweka  katika  hatari  ya  kupata  athari  zinazo    sababishwa  na  unene  ulio  kithiri.


Tazama  mabadiliko  hayo.

Unaweza  kupunguza  mwili wako  kwa  njia  ya  mazoezi na  diet  au  kama  utashindwa  kufanya  mazoezi  na  diet, unaweza  kupunguza  unene  kwa  kutumia  dawa.


Tazama  picha  za  kabla  na  baada  ya  kuanza  mazoezi. Kushoto  ni  alivyokuwa  na  kulia  ni  baada   ya   kufanya  mazoezi.  Hakuna  mtu  mnene  wala  mwembamba  duniani. Unaweza  kuamua  kuwa  mnene  au  mwembamba.

 Mwanadada  Chantell   Jackson ( Pichani )  ambaye  ni  raia  wa  Marekani  ni  ushuhuda  unaoishi  wa  watu  wanene  walio  weza  kupungua  baada  ya  kuamua  kwa  dhati  kabisa  kupunguza  unene.
Mwanadada  huyu  amefanikiwa  kupunguza  unene  kwa  njia  ya  mazoezi  na  diet.

Ona  alivyo  pendeza  baada  ya  kufanikiwa  kupunguza  mwili  wake  kwa  mazoezi.

Sasa  yupo  mbioni  kutoa  kitabu  pamoja  na  documentary  inayo  elezea  jinsi  alivyo weza  kufanikiwa  kupunguza   mwili  kwa  kiwango  kikubwa  namna  hii.



Kama  mwanadada  huyu  ameweza  kupungua,  hata  wewe  ukiamua   kwa  dhati  ya  moyo  wako, unaweza  kupunguza  mwili  wako.

Comments