Skip to main content

NAFASI ZA KAZI


                                                      NAFASI  ZA  KAZI
Neema  Herbalist  ni  wauzaji  na  wasambazaji  wa  dawa  mbalimbali  zitokanazo na  mimea.

Tunatangaza  nafasi  za  kazi  ya  UWAKALA WA  USAMBAZAJI   WA  DAWA  ZETU  kwa  vijana  wa  kitanzania  wenye  sifa  zifuatazo :
i.                    Elimu  ya  kuanzia  kidato cha  nne  na  kuendelea.
ii.                 Awe  mkaazi  wa  Dar  Es  salaam.
iii.              Awe  maridadi , mwaminifu na  anaye  jituma .

MAJUKUMU  YA  KAZI :  Kuchukua  bidhaa  kutoka  kwetu  na  kuzisambaza   kwa  wakala  wetu  mkuu  na  kwenye  maduka ya   madawa  yaliyopo  katika  kata  mbalimbali  za  jiji  la Dar  Es  salaam.
Mwisho  wa  kupokea  maombi  ni  tarehe   31 JANUARY  2014.

Kazi  kuanza  rasmi  tarehe  03  FEBRUARI  2014.

Tuma  maombi  yako  kupitia  barua  pepe  yetu ambayo  ni :  neemaherbalist@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...