PEDI KWA WANAWAKE:
NIMEPOKEA UJUMBE UFUATAO KWENYE SIMU YANGU MCHANA WA LEO. NIMEONA NIWASHIRIKISHE WADAU WA Neema Herbalist
Foward kama ulivyoipokea: kwa faida ya afya na usalama wa kila mwanamke....
Wasichana 56 wanafariki kwa ajili ya matumizi ya kipande kimoja cha pedi ya Whisper, stayfree, always n.k kwa kutwa nzima. Kutokana na kemikali zinazotumika ktk ultra pedi ambazo hubadili umaji maji(damu) na kufanya iwe nzito imehakikishwa kuwa inasababisha kansa ktk kibofu/ kizazi . Jaribu kutumia vitambaa na iwapo unatumia pedi basi badili kila baada ya masaa 5. Kwa sababu kadri muda unavyozidi damu huwa ya kijani na kuwa fangas na kuingia ktk kizazi. Tuma msg hii kwa w'wake wote.
By DR. Sahar Muhimbili.
Comments
Post a Comment