Skip to main content

Posts

Showing posts from 2013

MWANAMKE MWENYE NDEVU AELEZEA CHANGAMOTO ANAZO KUTANA NAZO.

Queen Okafor MWANAMKE  MWENYE  NDEVU  AELEZEA   CHANGAMOTO  ANAZO  KUTANA  NAZO. Queen  Okafor ( 26 )  ni  mzaliwa  na  mwenyeji wa  jimbo  la  Anambra  nchini  Nigeria.  Mwanamke  huyu ni  mmojawapo  kati  ya  wanawake  wachache  duniani  wanao  kabiliwa  na  changamoto  ya  kuwa  na  ndevu  & garden love.   Akifanya  mahojiano  na   mtandao  mmoja  nchini  Nigeria, anasema  yeye  amerithi  hali  hii  kutoka  kwa  mama  yake  mzazi.  “  Nyumbani  kwetu  tumezaliwa  watano, wasichana  watatu  na  wavulana  wawili. Hali  ya w asichana  kuwa  na  ndevu  katika  familia  yetu  ni  jambo  la  kawaida “  Anasema...

WORDS OF WISDOM

The mind is like a garden - as you sow, so shall you reap. When you cultivate it and nurture it, it will blossom beyond your wildest expectation. But if you let the weeds take over, you will never reach your potential.   What you put in is what you get out. So avoid violent movies, trashy novels and all other negative influences.   Peak performers are meticulous about the thoughts they allow into the gardens of their minds. You truly cannot afford the luxury of a single negative thought.

MATUMIZI YA KOROSHO HUONGEZA SPERMS KWA WANAUME.

Kuna   idadi kubwa   ya   wanaume   wanao   kabiliwa   na   tatizo   la   kutoa    kiasi   kidogo   cha   sperms   wakati   wa   kufanya   tendo   la   ndoa, jambo   linalo   waweka   katika   uwezekano   mkubwa   wa   kuto   weza   kumpa   ujauzito   mwanamke.   Unaweza  kuondoa  tatizo  hilo  kwa  kutumia   walau  gramu  75  za  korosho  zilizo  kaangwa. Fanya  hivyo  mara  moja  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  thelathini  na  tatizo  lako  litakwisha.  Utakuwa  na  uwezo  wa  kutoa  sperms  imara  na  zenye  nguvu. Ukiweza  kutumia  kiasi  kikubwa  zaidi  ya  Gramu 75   kwa  siku, itakuwa...

DAWA ASILIA YA KUONGEZA UKUBWA WA HIPS , MAKALIO NA KUNENEPESHA MIGUU.

DAWA   ASILIA  YA  KUONGEZA  UKUBWA  WA  HIPS , MAKALIO   NA  KUNENEPESHA  MIGUU. Neema  Herbalist &  Nutritional   Foods  Clinic ,  ni  wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa, tunayo  dawa nzuri   sana  ya  asili  ya  kuongeza makalio, hips  na  kunenepesha  miguu.  Dawa  ni  ya  asili  kabisa, haija  changanywa  na  kemikali yoyote,haina  side  effect na  inaongeza  ukubwa  wa  hips, makalio  na  kunenepesha  miguu  ndani  ya  siku  thelathini.  Bei  ya  Dawa  ni  SHILINGI  ELFU   THEMANINI TU   ( Tshs.80,000 ).  Dawa  ni ya  kupaka  kama  mafuta, inai...

Power in the tongue? Read how two friends died within days of each other

Power in the tongue? Read how two friends died within days of each other Want to share a strange story with you guys. Or maybe it's not so strange...just life! A guy named Albert Mlanga (pictured left) died November 25th and within a few days his burial arrangement was concluded with the burial scheduled for the 4th of December. Three days after Albert's passing, his very good friend Lele Daniel Torngu (They are old boys of St. Gabriel's Secondary School Makurdi) took to FB to announce his burial arrangement...see it below Daniel (pictured right) concluded his farewell message to Albert by assuring him of their re-union in the words "...Rest on hommie, we shal come. WE WILL COME." in caps! Now here's the part that's kinda creepy. A few days after this post, Daniel died after complaining of a terrible headache. He didn't live to attend Albert's wake-keep. Please continue... Not that I personally believe it, but a few people have tied Dani...

MWANAUME AMUUNGUZA MKE KWA SABABU YA WIVU WA KIMAPENZI

Janeth   Mwihaki, kabla  na  baada  ya  kufanyiwa  unyama  na  mume  wake. Janeth  Mwihaki  na  watoto  wake. A Kenyan man burnt his wife for being too beautiful after being married for more than two years. John claims he abused his wife because she would cheat on him on several occasions, an accusation Janet denied saying it was him who broke the marriage with his infidelity. The victim of the domestic violence, Janet Mwihaki, a citizen of Kenya met her fate after giving birth to their third son in 2005. Janet and John got married in 1999 and bore him a son the next year. In 2002, she gave birth to their second and in 2005, their third. Then the side of her husband she didn’t know existed began to emerge. After a year of separation, Janet came back to work in Nairobi as a trader. John burnt his wife’s hands and entire body, disfiguring her body. The police advised her to report him to the authorities i...

SLIMMING JELY YA KUONDOA KITAMBI : Mafuta Asilia Ya Kujipaka ( Kujimassage/Kujichua ) Yanayo Ondoa Kitambi na Kulifanya Tumbo Kuwa Flat Kabisa Ndani Ya Siku Thelathini

  Neema    Herbalist  ni  wauzaji  wa  Dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa, sasa  tunayo  dawa  safi  ya  asili  ya  kujipaka  ambayo  inaondoa  kitambi  na  kulifanya  tumbo  kuwa  flat  kabisa. Dawa  ipo  katika  mfumo  wa  mafuta, na  inatumika  kwa  kufanya  masaji  tumboni. Itaondoa  kitambi, tumbo  kubwa  na  kulifanya  tumbo  lako  kuwa  flat  kabisa. Dawa  ni  ya  asili  kabisa  (pure herbal ) , haina  kemikali  yoyote  na  italifanya  tumbo  lako  kuwa  flat  kabisa  ndani  ya  siku  thelathini. Bei  ya  dawa  ni  SHILINGI  ELFU    HAMSINI   TU ( Tshs...

HUYU NDIO BABU WA MIAKA 73, ANAYETOKA KIMAPENZI NA MSICHANA WA MIAKA 20

Wow! the   renowned fashion designer Roberto Cavalli  who is 73 keeps flaunting his beach body every time he hits the beach with his girlfriend who is in her 20 ′ s. They are proof that age is no barrier to finding love Babu  Roberto  Cavalli  na  mchumba  wake. Babu  ana  miaka  73,mchumba  ana  miaka  20!!!

UCHOTARA WANGU WANIPA CHANGAMOTO KUBWA KATIKA KAZI YANGU YA FILAMU

Julieth   Ibrahim Julieth  Ibrahim UCHOTARA   WANGU   NDIO   CHANGAMOTO   KUBWA   KATIKA   MAISHA   YANGU. Msanii   nguli   wa   filamu   kutoka   Ghana    Julieth   Ibrahim, amefunguka   ya   moyoni   mwake   kuhusu   namna   uchotara   unavyo   mpa   changamoto   katika   kazi   yake   ya   uigizaji   filamu. Akifanya   mahojiano   na   jarida   moja   lenye   kuandika   habari   za   watu   maarufu   la   nchini   Ghana, msanii   huyo   ambaye   anawika   sana   katika   filamu   za   Ghollywood   na   Nollywood   alikuwa   na   haya   ya   kusema : Sometimes, it is related with my colour.  The fact that I am of a mixed race makes people think that I receive prefe...

BAO LA NICKLAS BENDTNER LAZUA MAMBO

Nicklas  Bendtner MSHAMBULIAJI    WA   Arsenal    Nicklas   Bendtner   Jumatano   usiku   wiki   iliyopita   alifunga   bao   maridadi   la   kwanza   la   kuongoza   la   Arsenal   katika   pambano   dhidi   ya   Hull   City   na   kuendelea   kuiweka   kileleni   timu   yake   hiyo   ambayo   imekuwa   ikimsugulisha   benchi. Bendtner   alivaa   jezi   ya   Arsenal   na   kuanza    mechi   kwa   mara   ya   kwanza   ikiwa   zimepita   siku 1,005   tangu   alipoanza   mechi   yake   ya   mwisho   Emirates   kabla   ya   kutimka   kwa   mkopo   katika   klabu   za   Sunderland   na    Juventus. Alibakizwa   na   kocha...

MOYES AKANA VAN PERSIE KUTAKA KUHAMA

David    Moyes. MOYES   AKANA   VAN PERSIE   KUTAKA   KUHAMA. KOCHA   wa   Manchester   United, David   Moyes   anasema   hakuna   ukweli   wowote   kwamba   straika   Robin   Van   Persie hafurahii   tena   kuendelea   kukaa   Old   Trafford   baada   ya   kichapo   cha   bao   1-0   kutoka   kwa   Newcastle   United   juzi   Jumamosi. Mabingwa   hao   watetezi wamepoteza   mechi   tano   kwenye   Ligi   Kuu   England   hadi   sasa, idadi   ambayo   walipoteza   kwa   msimu   mzima   uliopita. Van   Persie   alirejea   kwenye   kikosi   cha   kwanza   katika   mechi   hiyo   baada   ya   kuwa   nje   ya   uwanja   kutokana   ...