Skip to main content

SLIMMING JELY YA KUONDOA KITAMBI : Mafuta Asilia Ya Kujipaka ( Kujimassage/Kujichua ) Yanayo Ondoa Kitambi na Kulifanya Tumbo Kuwa Flat Kabisa Ndani Ya Siku Thelathini

 




Neema    Herbalist  ni  wauzaji  wa  Dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa, sasa  tunayo  dawa  safi  ya  asili  ya  kujipaka  ambayo  inaondoa  kitambi  na  kulifanya  tumbo  kuwa  flat  kabisa. Dawa  ipo  katika  mfumo  wa  mafuta, na  inatumika  kwa  kufanya  masaji  tumboni. Itaondoa  kitambi, tumbo  kubwa  na  kulifanya  tumbo  lako  kuwa  flat  kabisa. Dawa  ni  ya  asili  kabisa  (pure herbal ) , haina  kemikali  yoyote  na  italifanya  tumbo  lako  kuwa  flat  kabisa  ndani  ya  siku  thelathini. Bei  ya  dawa  ni  SHILINGI  ELFU   HAMSINI  TU
( Tshs.50, 000/=).
Tunapatikana  jijini  Dar   Es  salaam, katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU. 
Wasiliana  nasi  kwa  SIMU ; 0766538384.
Kwa   wasio weza  kufika  ofisini  kwetu, utaletewa  dawa  mahali  ulipo  na  kwa  wateja  wa  mikoani, utatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  basi, wateja  wa  Zanzibar , mtatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  meli.
Na  Kwa  wateja  wa  nje  ya  Tanzania, mtatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  DHL.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...